Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

Katika mambo yote ya kupangiwa wala kufuatilia sidhani kama hili lipo au litahusu kwa lolote
 
Reactions: Cyn
Mleta mada mimi nipo tayari kunyonya hata "ndogo" yako..just niruhusu tu.
Mambo ya kizwazwa mnakuja kufungulia uzi.
Kumbusu mwanamke au kumnyonya denda ni kitu cha kawaida ulaya ni uamuzi wako na makubaliano yenu.
 
Wacha kudanganya watu shezi, unajua denda au unalisikia. Unachokiona hapo ni denda au busu?
 
Usip
Usipelekwe na upepo jombaaa,hiyo picha ya kutengeneza,
Photo shop,tatizo aliyeitengeneza alisahau kubadilisha na mikono ya mzungu iwe rangi nyeusi.
Angalia mkono wa "lisu"Lisu ni mtu mweusi,sasa kwanini mkono wake wa kulia uwe mweupe kama wa mzungu
 
Hapa sasa umesema jambo la maana. Sio picha ya kweli.
 

Naona unamuonea wivu mzungu kwamba kwanini amepigwa denda na lissu
Nenda basi na wewe lissu akakupige denda kama hauna nauli sema tukuchangie ukatimize haya ya moyo wako
 
Umbea waachie wanawake wewe. Hiyo ni issue binafsi, inakuhusuje wewe? Mmeshaambiwa na viongozi wenu muache siasa za majitaka, bado hamjielewi tu!!!
 
Ulaya ni kosa kubwa sana
Pia yeye ana dini isiyoruhusu wake 2 au kabadili
Mkuu so jamaa anamke wa ulaya na wa bongo yaan kama namba za simu ya nje na ya ndani vile pia kiukweli kama ndo vile nampongeza ata amerudi me nisingerud kabisa na ningeshukuru kupigwa risasi nikale vyangu huko mbele...sio kwa ubaya jaman msiniue
 
Mkuu so jamaa anamke wa ulaya na wa bongo yaan kama namba za simu ya nje na ya ndani vile pia kiukweli kama ndo vile nampongeza ata amerudi me nisingerud kabisa na ningeshukuru kupigwa risasi nikale vyangu huko mbele...sio kwa ubaya jaman msiniue
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…