Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Wivu utakuua
Kabisa .
Inaonekana ako na husuda kali sana ambayo ni hatari kwa afya yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu utakuua
CCM msiangaike 2025 mpeni Askofu Josephat Gwajima!!
Wengine waliobaki,watatutumbukiza shimoni!
Lisu hafai kuwa hata diwani, huyo unamfaa uanaharakati tena usio na tija.
Lisu hafai kuwa hata diwani, huyo unamfaa uanaharakati tena usio na tija.
Watu wanataka maji, hospital, barabara, umeme, chakula, mkongo, ajira na amani hawataki maneno na uelewa wa Ulaya sijui sheria. Sheria zote muhimu sana kwetu ziko kwenye Katiba ya nchi.
Kuwa na hoteli ya kulala watalii na kuwa na wamasai wanaooana na kuzaana ndani ya mbuga ni vitu 2 tofauti. Population ya wamasai ikiongezeka itahitaji space ya kujenga, kufuga, kulima, kuchezà, shule, hospital, nk. Kuwa na akili kidogo wakati unajadili hoja. Mbuga ni kitega uchumi cha taifa kama ilivyo milima, migodi na viwanda. Kama tunawaondoa watanzania wenzetu ili kupisha wawekezaji kwenye gesi, mafuta na madini kwanini iwe dhambi kuwasogeza wamasai kupisha utalii na uwekezaji ?Kuondoa watu kwa hoja ya kwamba wanaharibu hifadhi wakati huo huo unaleta wawekezaji ni unafiki. Alafu mbona kuna mahoteli mengi tu mbugani sasa hao wamaasai wamezuia nini?
Yeye ni makamu mwenyekiti na mwanasheria mkuu wa chama kwa miaka 20. Kama alishindwa kuwashawishi wenzake waandike katiba nzuri ya chama yenye ukomo wa madaraka atawezaje kuishawishi nchi iandike katiba nzuri?Kwani mnataka watu dhaifu ili muwe mnapiga nyuma yao z??!
Hilo ni tatizo la Africa nzima. Hata South Africa hawana umeme wa kutosha. Kuna nchi zimebadilisha utawala lakini mambo yao sio safi kuliko Tanzania. Lazima tujue tunataka nini kabla ya kufanya mabadiliko ili tusiruke mkojo na kukanyaga mavi.Mpaka sasa zaidi ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika imeshindikana kiwa na huduma ya umeme na Maji ya uhakika throughout the year ??! 🤔🤔🤔
Hilo ni tatizo la Africa nzima. Hata South Africa hawana umeme wa kutosha. Kuna nchi zimebadilisha utawala lakini mambo yao sio safi kuliko Tanzania. Lazima tujue tunataka nini kabla ya kufanya mabadiliko ili tusiruke mkojo na kukanyaga mavi.
Yeye ni makamu mwenyekiti na mwanasheria mkuu wa chama kwa miaka 20. Kama alishindwa kuwashawishi wenzake waandike katiba nzuri ya chama yenye ukomo wa madaraka atawezaje kuishawishi nchi iandike katiba nzuri?
Hujitambui wewe, ni wapi walisema wanawatoa kisa kupisha uwekezaji? Wao walisema wanalinda ecosystem sasa je wawekezaji kuweka mahoteli hayaharibu hiyo ecosystem? Hao wamaasai wame coexist na wanyama uliwahi ona wameharibu chochote cha asili?Kuwa na hoteli ya kulala watalii na kuwa na wamasai wanaooana na kuzaana ndani ya mbuga ni vitu 2 tofauti. Population ya wamasai ikiongezeka itahitaji space ya kujenga, kufuga, kulima, kuchezà, shule, hospital, nk. Kuwa na akili kidogo wakati unajadili hoja. Mbuga ni kitega uchumi cha taifa kama ilivyo milima, migodi na viwanda. Kama tunawaondoa watanzania wenzetu ili kupisha wawekezaji kwenye gesi, mafuta na madini kwanini iwe dhambi kuwasogeza wamasai kupisha utalii na uwekezaji ?
Walioko ngorongoro Leo sio wamasai wote. Wamasai waliohamishiwa ngorongoro kutoka Serengeti sio hawa waliko sasa hivi kule. Hawa wa sasa wanakula ubwabwa, wanajenga nyumba za matofali, wanafanya biashashara, Wana maduka na wengine hawana ng'ombe kabisaa, , Wana magari na ni wengi sana. Wamasai wa sasa wengine sio watanzaniaHujitambui wewe, ni wapi walisema wanawatoa kisa kupisha uwekezaji? Wao walisema wanalinda ecosystem sasa je wawekezaji kuweka mahoteli hayaharibu hiyo ecosystem? Hao wamaasai wame coexist na wanyama uliwahi ona wameharibu chochote cha asili?
Ngorongoro is too big to host a single hotel at a cost of more than half-a-million inhabitants.
Kuwangoza kuelekea wapi? Asikudanganye mtu kuwa watanzania ni wajinga kiasi hicho cha Kila mtu kuweza kuwaongoza. Hakuna binadamu asiyekuwa na threshold yake kwenye Kila jambo na Kila tukio. Hakuna jamii isiyokuwa na redline yake kwenye kila jambo na Kila tukio. Thresholds za watanzania Bado ni himilivu, hakuna redline yao iliyovukwa.Najua uraisi ni cheo kikubwa ila kwa bongo sijaona hiyo sababu ya kujidanganya inahitaji mambo mengi au uwe na uwezo mkubwa.
Sitaki niwe mnafiki kila mTanzania ukimuweka ikulu anaweza kuongoza waTanzania.
Bongo bado sana, tusidanganyane kwamba ni ngumu sana kuongoza waTanzania.
Sawa wapi wee. Jamaa ni mwanaharaki kuliko mwanasiasa. Anapinga bwawa la umeme kujengwa kule rufiji, anapinga ndege kununuliwa lakini sasa p*mbu zake zinasafiri na ndege hizohizo, alipinga barabara ya kimara kupanuliwa lakini sasa nae anapita humohumo, anapinga bamdari kukodishwa, anapinga Kila kitu bila kutoa njia mbadala.Kabisa .
Inaonekana ako na husuda kali sana ambayo ni hatari kwa afya yake.
Kwani Tanzania haiko Africa? Walibya walikuwa na Kila kitu hadi mahari ya kuolea lakini waliiharibu kwa ulevi wa watu kama Lissu na Dr. Slaa, Walibya walitumiwa na mabeneru kuivuruga nchi yao, eti wanatafuta demokrasia ya kuongea chochote hata matusi kama anavyotaka Lissu.Mpaka sasa zaidi ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika imeshindikana kiwa na huduma ya umeme na Maji ya uhakika throughout the year ??! 🤔🤔🤔
Siasa za Lissu zinamfanya mtawala kuwa imara zaidi kama alikuwa legelege, zinamfanya mtawala atamani kuwa dikiteta hata kama alikuwa hawazi kuwa dikiteta.Anazo zote na za ziada!, na ndio maana uchaguzi wa 2020 tulimshauri Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Ila kwa uchaguzi wa 2025, niliwaomba Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! hivyo iwapo CCM itamsimamisha mgombea Mwanamke, TL asigombee maana itakuwa ni aibu kushindwa na Mwanamke!, hivyo nimeshauri Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!
Unless kama sauti hii ni yake YEYE, Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke then TL agombee, wapambane!.
P