hana sifa stahiki kwa nafasi hiyo maoni yangu na mtazamo wangu.
si muaminifu,
si mzalendo, uzalendo wake wa mashaka.
si mstahimilivu
si muungwana
ana majivuno na dharau kupindukia,
amepungukiwa hekima na Busara,
si mtarabibu wala mstaarabu,
ni mbishi asie na utii,
hana mipango bali lawama,
haaminiki kitaifa bali ng'ambo kwa watwana,
ana uchu na tamaa mno,
ni mbinafsi hatari,
ni mpenda fujo sana,
ana chuki na wanaotofautiana nae kimtazamo,
ni mjeuri mwenye elimu
ana hasira iliyofichika.
nadhani Mbowe anafaa zaidi.
ni mstahimilivu,
Mzalendo asiye na shaka,
si mbishi,
ni mtulivu, mwenye hekima na Busara
hajivuni na wala haringi,
muongea kwa utaratibu na ustaarbu,
Hatukani wala kukejeli mtu,
Hana chuki wala habagui wenye tofauti na mtazamo wake.
si mbinafsi.
Anaaminika kitaifa na kimataifa
Jamaa ni muungwana sana,
nakuja kumalizia ngoja nipande daladala kwanza...........
hana sifa stahiki kwa nafasi hiyo maoni yangu na mtazamo wangu.--- "Mtizamo wako"
si muaminifu,-
-Kwa kigezo kipi? Kwa mwita "mama" mwizi?
si mzalendo, uzalendo wake wa mashaka.--
Kwa kigezo cha kupambana na wauza nchi wakiongozwa na Saa100
si mstahimilivu-
Kwa sababu anapiga kelele majizi ya raslimali akina saa100 wanapofumba macho
si muungwana--
kwa sababu havumilii majizi na wauza nchi wakiongozwa na saa100
ana majivuno na dharau kupindukia,-
Anawadharau sana majizi na anajivunia uwajibikaji na usafi
amepungukiwa hekima na Busara,--
Kwa sababu alikosa hekima alipoanza kuwashughulikia majizi
si mtarabibu wala mstaarabu,-
Amewaumbua majizi na wauza Nchi yakiongozwa na saa100
ni mbishi asie na utii,--
Tunahitaji Rais asiyetii miongozo/ushauri ya mafisadi kama saa100 anayeongozwa na JK
hana mipango bali lawama,-
Mpe Nchi uone mipango yake. Alipendekeza bima ya afya sasa fisadi mkuu amedandia sijui atatekelezaje
haaminiki kitaifa bali ng'ambo kwa watwana,-
Kubalini fair competition muone kama haaminiki.
ana uchu na tamaa mno,-
Thibitisha
ni mbinafsi hatari,-
Thibitisha
ni mpenda fujo sana,--
Aendeleze fujo kwa majizi tu
ana chuki na wanaotofautiana nae kimtazamo,-
Thibitisha
ni mjeuri mwenye elimu--
Saa100 ni kilaza asiye na elimu utachagua yupi? Waarabu wameona mteremko wanakomba kila kitu.
ana hasira iliyofichika.--
Afadhali aliye na hasira kwa sababu hatavumilia majizi
Hapa chini tunaelewa lengo lako ni kuwagawa CDM umeshindwa puuuuuuuuuuu
nadhani Mbowe anafaa zaidi.
ni mstahimilivu,
Mzalendo asiye na shaka,
si mbishi,
ni mtulivu, mwenye hekima na Busara
hajivuni na wala haringi,
muongea kwa utaratibu na ustaarbu,
Hatukani wala kukejeli mtu,
Hana chuki wala habagui wenye tofauti na mtazamo wake.
si mbinafsi.
Anaaminika kitaifa na kimataifa
Jamaa ni muungwana sana,
nakuja kumalizia ngoja nipande daladala kwanza..........