Hakunaga mashindano yoyote kati ya mwanaume na mwanamke, wanaume wanatakiwa kushindana na wanaume wenzao, wanawake na wanawake wenzao. Mwanaume ukishindana na mwanaume mwenzio ukashindwa, its normal umezidiwa, lakini mwanaume ukishindana na mwanamke ukashindwa kiukweli ni aibu!. Hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu asigombee kuepuka aibu ya kushindwa!. Uchaguzi wa 2015 kwa Zanzibar, nilishauri hivi,
Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein hawakusikia wakamsimamisha na kweli ali... ilibidi Jecha kuokoa jahazi kwa kupindua meza!. Mwanaume rijali uneyesimama kushindwa na mwanamke anayechuchumaa ni aibu!. Sometimes bora kufa kishujaa huku umesimama kuliko kuishi huku umepiga magoti!. Lissu ni shujaa msimuaibishe!
It's the other way round, yaani kitendo cha Mwanamke kuongoza nchi ni credits kubwa sana kwa Mwanamke kufuatia mfumo dume kuwa vitu Mwanamke hawezi, ukiwemo urais!, hivyo huyu Mwanamke ame wa prove wrong kwa kuonyesha uwezo kuliko wale wanaume 4!.
Je, kuna kazi za kike na za kiume? Fupa hili lililowashinda wanaume wanne, mwanamke mmoja ataliweza?
Hili mbona sio swali ni jibu, kwani wewe unaonaje kuhusu strengths na weaknesses kati ya mwanamke na mwanaume, wanafana?. Mwanamke ni kiumbe dhaifu ila kuna wanawake wa shoka, they are strong than men!. Wanawake wengine wenye kujitambua kuhusu strength of a woman, they use that strength and becomes above men!.
Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?
No sina lengo la kudhalilisha wanawake bali kumuepushia aibu huyu shujaa wetu, mtu kushindwa na Mwanamke ni aibu ya mwaka, ambayo itapelekea ahamie kule jumla!.
P