Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

Tupe mfano mmoja tu πŸ˜‚
 
Sio kweli. Hata biashara chini ya trustees hujulikana ndio ziwe biashara za mtu binafsi?
Hizi ni hisia na maoni yako binafsi au ni Facts?
Kama ni facts nisaidie nani anamiliki hizi biashara

1.Blackrock
2.State street
3.Goldman Sachs.
4.HSBC Bank

Kwa NGOs, niambie kina nani wana own

1.PSI
2.Mariestopes
3.DKT.

Zipo nchi kibao duniani unafanya investment anonymously au unatumia flaship trusted individuals kama Wahindi na Philipines...

Zungukeni muijue dunia
 
Sio kweli. Hata biashara chini ya trustees hujulikana ndio ziwe biashara za mtu binafsi?
Nimetoa mifano hapo juu nitajie wamiliki.

Labda kama mgeni jijini... Biashara nyingi bongo za wanasiasa wajanja wanatumia wahindi na waarabuil kama owners .

Tanzania nzima wahindi ndio wanaendesha biashara anonymous za wanasiasa wa kibongo na wao ndio wamiliki.

Nimekusanua mkuu...
 
Lissu anapiga kwenye mshono
 
Nilidhani utanipa mfano wa Tanzania Kwa mfumo wetu wa Uchumi

Kwinguneko duniani inajulikana hata Wauza KITI Moto wa Dubai Majina hayawekwagi hadharani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Happy New Year 🌹
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

We mtu mzima bwana, hujui nani analeta wahindi na wachina bongo?

Unaanzisha consortium unaweka Wachina na wahindi wanapewa uraia fasta we unakula tu maisha...

Mbona hii ipo open sana?

Huyo mshamba ndio analeta blabla zake za Tin number kama ametoka Ikungi juzi
 
Serikali haiwezi kushindwa kujua biashara zako mtu uliye kwenye siasa kwa nafasi kubwa kama ya mbowe. Hata mbowe aweke jina la kitukuu bado serikali itajua. Point yako hii inakosa nguvu
 
Unatuuzia uongo. Serikali inajua wanasiasa wote na biashara zao hata ufiche vipi majina. Labda uwe kidagaa
 
Hapana mkuu. Mbowe ni drug dealer
 
Larry Fink
Huyo ni CEO kaka .

Tanzania biashara za wanasiasa wanaweka wahindi kama investors...

Unakumbuka ile hotel ya Mkulima Ruangwa?..

Hizo ndio kaz sasa, wachana na huyo jamaa anaetaka kila anaegombana nae awe fisadi, mla rushwa na muwongo
 
Unatuuzia uongo. Serikali inajua wanasiasa wote na biashara zao hata ufiche vipi majina. Labda uwe kidagaa
Haiwezi kujua kila kitu mzee...

Lakini zaidi kuna kufichiana siri,

Hakuna serikali inayo ropoka tu kwenye kila kitu kama huyo bwana....

Kumbuka kosa la kukwepa kodi unazuiwa kushiriki siasa kwa muda mrefu sana... Na kashfa yake huchomoki kwa umma ..

Sasa jamaako kaamua kukaa kimangaa anadhani kila mtu lazima awe na Tin number ili afanye biashara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…