Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

Kumbe Mbowe Hotels hazina TIN number? Yale mashamba aliyoharibu Byakanwa na zile biashara lissu alizowahi kiri Magufuli alimharibia Mbowe kumbe ilikua uongo?
 
Haya Rudi tena nani ana Own Vanguard...

Vanguard ana share ndogo sana Blackrock na State Street..

Huyu jamaa yenu ni mshamba bwana.
Msikilize tena,amesema hapa Tanzania.

Hata kama umeinvest kwenye stock jina lako au company yako itakuwepo pale.
 
Bado unatuuzia uongo. Serikali haiwezi kushindwa kujua biashara zako kwa mwanasiasa mkubwa. Huu uongo usiuhalalishe ili point yako ieleweke

Kosa la kukwepa kodi unazuiliwa kufanya siasa na huchomoki kwa umma? Nchi gani hiyo? Tanzania? Umma upi huu huu? Umma utakufanyaje? Zaidi utaandikwa tu mtandaoni baada ya muda wote watasahau.
 
Mbowe huiba pesa za chadema kisha kuzitakatisha kwa kujidai alikopesha chama sasa anarejesha mkopo ambao huwa ni hewa, Mbowe ni mwizi kama wezi wengine ndiyo maana kang’ang’ania Uenyekiti akihofia kutoka siri zake madudu yake vitajulikana kwa haraka
 
TAL aliyemuweza ni JPM!
Sasa anatafuta kuisambaratisha chadema, msigwa kule ataisambaratisha CCM.

Lissu ni mchafuzi WA Hali ya hewa popote aliko.

Iwapo atakosa kura,ataanzisha kelele zingine
 
CCM sio wezi
 
Lissu amewahi kiri Magufuli kuharibu biashara za Mbowe!! Kumbe hata Bilicanas ilikua hewa!! Lissu ametupa wengi mashaka!!

Inawezekana labda Lissu kaambiwa kwamba Mbowe kalamba mpunga wa Abdul ndiyo maana anaanza kukwesheni biashara za mbowe! Anaona kwamba Mbowe yupo karibu sana na Wenje ambaye ni rafiki wa Abdul.

Mbowe ameanza kukamata fedha hata Abdul hajazaliwa.
 
Inawezekana labda Lissu kaambiwa kwamba Mbowe kalamba mpunga wa Abdul ndiyo maana anaanza kukwesheni biashara za mbowe! Anaona kwamba Mbowe yupo karibu sana na Wenje ambaye ni rafiki wa Abdul.

Mbowe ameanza kukamata fedha hata Abdul hajazaliwa.
Lissu hajaquestion biashara za mbowe, alichoquestion ni kipato akimaanisha ni biashara gani hizo halali zenye tin number zinazoweza kumfanya akatoa hayo mamilioni kila muda.
 
Lissu hajaquestion biashara za mbowe, alichoquestion ni kipato akimaanisha ni biashara gani hizo halali zenye tin number zinazoweza kumfanya akatoa hayo mamilioni kila muda.

Kila mtu ana biashara zake anazofanya ,nyingine zipo wazi na nyingine mtu hapendi kuziweka wazi ila zipo ,Mbowe ni hustler ,anajua kutafuta pesa.
 
Unahangaika sana na Lissu...kila kona upo...
Labda nikuambie Lissu anajua anaongea nini...nikushauri tu kaa kwa kutulia..fuatilia tu hii mbungi....
Huyo mpigaji wenu at last kanasa....
 
Point ya lissu sio kwamba mbowe hana biashara, Ila anauliza biashara gani anayo yenye tin number inayoweza kumfanya alipe mamilioni yote hayo kila wakati.
Mbowe ametengeneza madeni feki madeni hewa ambayo anaidai chadema kuwa alikoposha pesa zake toka kwenye biashara zake hewa, biashara zisizoendana na hicho kipato haramu, mbowe Nile mwizi mkubwa wa pesa za chadema na sasa kaunda kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee Boniface wenje sugu kawapa pesa nyingi wagawe kwa wajumbe wamdhoofishe lisu, ndini ya chawa wa mbowe wapo waathirika wa uchoyo wa mbowe hao ndiyo humweleza Lisu kila kitu cha mbowe
 
Lissu amejimaliza. Kuropoka ni weakness kubwa sana ambayo inamfanya mtu asi QUALIFY kuwa kiongozi mkuu wa chochote. Mkiniambia kuwa risasi zimeathiri hadi ubongo wake nitawaelewa.

Kwanini anakwenda PERSONAL kwa Mbowe kisa UWENYEKITI wa CHADEMA tu. Anasahau hata namna Mbowe ALIVYONUSURU uhai wake baada ya kushambuliwa na risasi 16 na watu wa Magufuli pale Dodoma mwaka 2017??
Kweli KIKULACHO ki ............
 
Kila mtu ana biashara zake anazofanya ,nyingine zipo wazi na nyingine mtu hapendi kuziweka wazi ila zipo ,Mbowe ni hustler ,anajua kutafuta pesa.
Mbowe anajua kuiba pesa za chadema
Mbowe anajua kutafuta pesa zipi? Angekuwa anajua kutafuta pesa asingeng’ang’ania uenyekiti atawale kifalume angeenda kupambana mitaani, Mbowe ni mwizi wa pesa za chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…