Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

yuwapi raisi wetu hayo mengine tutayakuta 2024 sasa hivi tuchape kazi
 
Sasa hivi tunafuatilia afya ya Jiwe.Hayo ya uchaguzi ni yako na maFisiem wenzako,waroho wa madaraka!
 
2025 Hakuta kuwa na uchaguzi maana katiba itabadilishwa na
Akina ndugai kwahiyo mawazo uchaguzi futa kabaisa mzee wa lockdown ataapishwa kuwa rais wa maisha.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Huyo uliyemtaja atakuwa hai kipindi hicho kweli.

Dalili zinaonyesha waliokudia kumwangamiza kijana mpendwa, wakamnyima pesa ya matibabu na kumfukuza ubunge wanateketea kabisa. Sasa je huyo atakuwepo? Mungu hadhihakiwi.

Watu tunaomba usiku na mchana ili vikwazo viondolewe na njia rahisi ni pamoja na "The World Order".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…