mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Mfano Angekua baba yako ndio lisu kapigwa Risasi zile ungeupenda utawala huu tuache ushabiki maandaz semaKwangu mimi Lissu hana credibility. Yaani nimemshusha kipindi hiki cha issue ya Magufuli. Yaani anaandika uzushi mtandaoni. Mara Magu yupo Nairobi mara India,wakati Magu yupo hapo Mzena Kijitonyama.
tatizo la bavicha ,unaweza ukawa ambia tundu lissu,anavaa hereni na wakaamini.Historia imebadilika sasa hata Doto magufuli kaanza kuchukua chake mapema huko BOT maana amejua mwakani kuna uchaguzi na endapo utaingia utawala mwingine lazima atolewe kafara hapo wizara ya fedha
Kwa akili yako unadhani magufuli ndo alitoa pesa za vipeperushi na gharama za mafuta ya kuzungukia nchi nzima?Mbowe mwenye chama awezikukubali,Lisu ni mzigo hana pesa za kampeni.
Uchaguzi uliopita hata pesa ya mafuta ya gari Lisu alikua anachangisha jukwaani,sikwambii mabango na vipeperushi alishindwa kuweka.
Atagombea. Jibu swali usiwe kama upo kilabu cha pale IdodiMagufuli ni kipenzi cha wananchi.
Nkurunziza alitibiwa Bujumbura na kufia Bujumbura. Mkewe ndo alitibiwa na kupona Nairobi .Hata nkurunzinza si alitibiwa Nairobi
Kusema ukweli sio kushabikia utawala. Binafsi siupendi utawala wa Magufuli katika nyanja nyingi mno. Ila kutomkubali Magufuli hakunifanyi niseme uongo juu yake.Mfano Angekua baba yako ndio lisu kapigwa Risasi zile ungeupenda utawala huu tuache ushabiki maandaz sema
Pigeni kazi! Fanyeni sasa hamna competition tena faidikeni na soko!Na huko mnakohamishia ,uchumi hakuna!corona imefanya yake.mtarudi tu.Kitonde Cha ww kuhamisha ,unapunguza competition watu wanapiga kazi.acheni uoga pambana.
Sio mitano tena Tano nyongezajohnthebaptist si tulishakubaliana 2025 ni mitano tena?
Kasome katiba ya JMT utapata jibu bwashee!Atagombea. Jibu swali usiwe kama upo kilabu cha pale Idodi
Si hata Agost mlisema harusi, na akarudi kama kawa? Kama atakuja na sifa basi atapeperusha tena bendera Ili dictator uchwara azidi kuwekewa ac Hadi pumbuni, aagh! Kumbe anatakiwa mstaafu ila atanyoooka tu.Sema Lissu ni muoga hawezi kurudi nchini.
Yule Bobi Wine wa Uganda ndio jasiri!
Sasa amejua kuwa sote tutakufa?Kasome katiba ya JMT utapata jibu bwashee!
CCM ni chama kikubwa chenye hazina ya viongozi miaka 10 unakabidhi kijiti mbio zinaendelea!
Akili ikikukaa sawa uelewa tuHistoria si unaijua lakini!Marais wanaotokana na chama Cha wananchi ,ccm kwa kawaida wanakaa misimu mingapi!Rudi kwenye historia nadhani ,huo usingizi utakutoka mkuu.
Chonde chonde mwepoHuko mbali sana
Mbona hata Sumaye analijua hilo akatoka nduki Ufipa asije kuvunjwa miguu na mkaza mwana!Sasa amejua kuwa sote tutakufa?
Sema Lissu ni muoga hawezi kurudi nchini.
Yule Bobi Wine wa Uganda ndio jasiri!
Meko yuko wapi bwashee?Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.
Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa mtazamo wangu mimi nisiefungamana na chama chochote cha siasa Tanzania naamini lissu hatogombea uraisi 2025. Sababu yangu ni hizi tweets anazozituma hivi sasa kuhusu Jiwe. Sio kuhusu alipo au alivyo Jiwe bali ni namna anavyo compose tweets zake nahisi amewaudhi watu wengi wa ccm. As long as ccm wamo madarakani naamini siku Lissu akitia mguu tu Tanzania atashikwa na kubambikizwa kesi na hio ndio itakuwa salama yake lakini wasiojulikana pia huenda wakamtembelea tena. Lissu kwa sasa akae aombe ccm iondoshwe madarakani 2025 halafu ndio ajaribu kuja nyumbani kwa matembezi halafu akitaka agombanie urais 2030!Najiuliza tu kama CHADEMA wana mpango wa kumsimamisha Tundu Lissu kugombea tena urais 2025.
Na kama watamsimamisha sijajua watatumia utaratibu gani kufanya kampeni maana kila nikifikiria mpira wa kona unavyogombaniwa naogopa sana.
Maendeleo hayana vyama!
Jk alianzisha mchakato wa katiba ya wananchi mtetezi wa wanyonge akaja kuinyonga na kujichimbia mihili mitatu yote! Bure kabisa wewe NKTWananchi wamekuambia wanataka katiba mpya?