Je Tundu Lissu hana ubinadamu?

Je Tundu Lissu hana ubinadamu?

Umeandika ujinga. Kwamba Mbowe ni Mungu hapo chadema mpk kumpinga kwake kuwe na style ya kipekee? Au kwa kuwa ni Mbowe basi asipingwe??

Rubbish!!
Sio kwa LISSU, wapo wa kumpinga sio Lissu. Lissu alivyofanyiwa ubinaadam wa hali ya juu na mbowe sio wa kutoka na kumnanga hadharani
 
Sote tunajua baada ya kushambuliwa LISSU, MBOWE ndio alieongoza mapambano makubwa ya kuokoa maisha ya Lissu kama mwenyekiti wa chama na yeye akiwa mwanachama.

Wengine akina Maryam japo wakisupport lakini 99% ya mapambano ya kupambania maisha ya Lissu ni Mbowe pale hospital ya Nairobi na sio mwengine.

Sasa mtu kama huyo basi hata hujali ubinaadam? Anasikiliza kunguni wa pembeni wanaomjaza upepo
Sasa hata hili Lissu halioni? Binaadam gani asie na shukran?

Au hii pia ipo katiba ya chama kwamba mtu akikutwa na majanga mwenyekiti wa chama anatakiwa ajitolee hali na mali kuhakikisha mwanachama wake anapata msaada wa kibaandam kama ilivyo sheria kwamba lazima alipiwe na bunge?

Kwa maana LISSU Aseme mapambano ya kuokoa maisha yake yapo katika katiba ya chama na Mbowe ni wajibu wake kufata katiba, kama hivyo ndivyo, Lissu ana haki ya kumshambulia hadharani, lakini kama mapenzi na ubinaadam wa Mwenyekiti basi LISU anatakiwa aangalie ubinaadam huu na sio kunguni wa pembeni yake.

Anahaki ya kugombea nafasi yoyote ile, lakini kwa style ipi? Na anampinga nani?
Acha upuuzi wew
 
Na Sote tunajua tundu alishambuliwa kwa sababu ya kutuambia ukweli wa Tz ambapo mbowe hakuthubutu, kwahiyo TAL aliyajali maisha yetu wananchi kiujumla.🤣 Hence Anatosha sasa kuwa Mwenyekiti. Kama mbowe aliua makumi elfu basi Mpakwa mafuta TAL ameua Maelfu elfu.
 
Halafu mwenyekiti wenyewe sio tu mwenyekiti ndie 99% LISSU alipopata maafa ndie aliekuwa anamnawisha mavi na kumuosha. Unataka ufanyiwe nini tena?
Nimeikumbuka hadithi moja, niliisoma nikiwa mdogo. Joka lilivamia kijijini. Likameza wanakijiji karibia wote. Kijana mmoja, akajitokeza kupambana nalo. Akaliua kwa mishare. Akachukua kisu, na kulipasua tumbo, na kuwatoa watu wote waliokuwa wamemezwa. Walikuwa kama wamelala usingizi mzito. Baada ya kupigwa upepo, wakawa wanazinduka.
Sasa, wakati wa kumpasua yule nyoka, kwa bahati mbaya, alimchanja kidogo mjomba wake. Na yeye alipozinduka, akajiona ana ka mkwaruzo kidogo kanatoa damu! Akamjia juu huyo kijana, ni kwa nini amemuumiza yeye tu, na wengine wametoka salama?
Kijana akajitahidi kujitetea, lakini mjomba haelewi! Kijana akawaza, 'HILI LI MJOMBA, NINGEJUA NINGELIACHA TU HUMO TUMBONI MWA JOKA'!!!
Hatujui Mbowe anawaza nini!
 
Sio kwa LISSU, wapo wa kumpinga sio Lissu. Lissu alivyofanyiwa ubinaadam wa hali ya juu na mbowe sio wa kutoka na kumnanga hadharani
Kwa akili hizi ndiyo maana huwa mnajiuliza kwanini wanaokula na kufuja fedha za serikali huko huwa hawafanywi lolote.
Jibu ni fikra kama zako ubinadamu. Kwamba anayebidi awawajibishe kuna mahali walimsaidia katika safari yake, hivyo anafanya kuwasamehe tu au kujifanya hawaoni.
Kuanzia leo muache kuwa mnalalamika kuwa ccm na serikali yake hawachukui hatua. Maana wanajali ubinadamu kwa kulindana over.
 
Huo ubinadamu ndiyo unaozaa uchawa. Yericko Nyerere na Boni Yai wamejengewa nyumba na Mbowe ndiyo maana wamekuwa machawa.

Dr. Mpoki Ulisubisya akifanya kazi kubwa sana pia, mzee Kikwete ndiye aliyeomba chopa kutoka kwa yule mbunge wa Zanzibar. Watanzania wengi walichangia hela na damu.

Why Mbowe? Who is Mbowe??
 
Na Sote tunajua tundu alishambuliwa kwa sababu ya kutuambia ukweli wa Tz ambapo mbowe hakuthubutu, kwahiyo TAL aliyajali maisha yetu wananchi kiujumla.🤣 Hence Anatosha sasa kuwa Mwenyekiti. Kama mbowe aliua makumi elfu basi Mpakwa mafuta TAL ameua Maelfu elfu.
TAL aliposhambuliwa uliwahi angalau kuandamana? Lissu akisema muandamane mtaandamana au mtamwacha pekee yake? Alipopata matatizo kuna aliendamana?
 
Kwa akili hizi ndiyo maana huwa mnajiuliza kwanini wanaokula na kufuja fedha za serikali huko huwa hawafanywi lolote.
Jibu ni fikra kama zako ubinadamu. Kwamba anayebidi awawajibishe kuna mahali walimsaidia katika safari yake, hivyo anafanya kuwasamehe tu au kujifanya hawaoni.
Kuanzia leo muache kuwa mnalalamika kuwa ccm na serikali yake hawachukui hatua. Maana wanajali ubinadamu kwa kulindana over.
Lissu wa kumfanya mbowe kama baba yake mzazi ktk siasa kwa ubinadam aliomfanyia. Nyinyi kunguni mumeweka sana tamaa ya vyeo na kelele, ukiambiwa uandamane na LISSU utakimbilia mvunguni
 
Huo ubinadamu ndiyo unaozaa uchawa. Yericko Nyerere na Boni Yai wamejengewa nyumba na Mbowe ndiyo maana wamekuwa machawa.

Dr. Mpoki Ulisubisya akifanya kazi kubwa sana pia, mzee Kikwete ndiye aliyeomba chopa kutoka kwa yule mbunge wa Zanzibar. Watanzania wengi walichangia hela na damu.

Why Mbowe? Who is Mbowe??
Mbowe kwa LISSU sawa na baba mzazi. Muezi 3 Nairobi inatosha lissu kumuheshimu mbowe ktk maisha yake hapa duniani. Na sio kukusikilizeni kunguni wapenda damu
 
Tofautisha mambo ya personal issue na puplic issue. Wanasiasa lao moja. Subiri jumamosi mbowe naye atangaze kugombea ndio uje na upupu huu. Unajuaje kama mbowe ameamua kumuachia lissu agombee na yeye hatagombea?
 
Acha upuuzi wew
Mpuuzi yule aliepambaniwa maisha yake wakati wa shida halafu kunguni wanakuja kumuingiza ktk fitna, wakati kunguni wenyewe wakati Lissu anapata matatizo wana mwita msaliti leo ndio wanaojifanya kumpenda
 
TAL aliposhambuliwa uliwahi angalau kuandamana? Lissu akisema muandamane mtaandamana au mtamwacha pekee yake? Alipopata matatizo kuna aliendamana?
Umeuliza maswali ya kijinga sana. Hebu rudia kuyasoma wewe mwenyewe kwanza,unaweza kujikata kichwa hicho.
 
Back
Top Bottom