..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.
..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.
..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.
..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.
..Tundu Lissu ni mtu, au mwanasiasa, wa aina gani?