Je, Tundu Lissu ni mkweli kupita kiasi, au ni mropokaji?

..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.

..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.

..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.

..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.

..Tundu Lissu ni mtu, au mwanasiasa, wa aina gani?
Angekuwa msema hovyo na mropokaji asingepigwa risasi zote zile katika jaribio la kuupora uhai wake pale Area D Dodoma.
 
..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.

..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.

..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.

..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.

..Tundu Lissu ni mtu, au mwanasiasa, wa aina gani?
mkweli na HAJUI kuficha hisia zake
 
Bado hajajua wapi atumie siasa na wapi atumie uanaharakati - si mtu sahihi kuongoza CDM kwa sasa.
 
Kuna anayoyajua kweli na kuweza kukupa somo.

Kutokana na imani hiyo ya kujua kama mwalimu anadhani, wote tupo tayari kumeza ujinga hata anapo ongopa.

Anachokera zaidi ni pale anapotumia trust yake mbele ya jamii kwamba ni mwelewa wa sheria kama mwalimu wao. Halafu yeye ku-abuse hiyo kuwapotosha kwa maslahi ya mabeberu and against national interest (hapo ndio wengine tunapomdharau).

Ni mtu wa hovyo (overall), hata kumvaa Mbowe motive zake sio za kuijenga CDM ni maslahi yake ya kugombea uraisi.

Hoja zake za kutokukubali maridhiano ni ujinga mtupu. Kwenye kichwa chake Mbowe hakuwa na makosa na watu kama nyie zama hizo (wakati jeshi la polisi) lilikusanya ushahidi wa mipango yake ya kulipua vituo vya mafuta (Mbowe ni gaidi).

Samia kasemehe yote hayo, same sakata la mzee Kibao (CDM ulihusika) labda kwa kushirikiana na usalama wa taifa (it’s obvious for those who can tie the dots).

Mbowe hafai, lakini hana uwezo na self serving (he is just shallow) on leadership matters.

Same as in CCM and TISS (details zake huko, kuna watu hawataniwi) kwa hivyo sio ya kuyaongelea.

Why in earth would someone put hope kwa taahira kama Lissu that’s, beyond me.

Lissu ni mtu wa hovyo kweli-kweli and very compromised ni taahira tu anaweza msikiliza mijinga yule (he is so shallow) and annoying to me.
Lissu anakulaza viatu Toka awamu 5
 
Lissu hajawahi kunyamazishwa ukizingua lazima akuchane ni mkweli na muwazi aina ya siasa ambazo hazijazoeleka Tanganyika, bado watu wanapenda siasa za kulindana na kanuni ya huyu ni mwenzetu hata akikosea basi avumiliwe tu ili tusiakipasue chama upuuzi ambao Lissu haukubali.
Mtu akifanya nini hasa ndio anakuwa amezingua? Mapambano anayoyaendesha Lissu sasa hivi dhidi ya Mbowe ni mapambano yale yale aliyoyaendesha Zitto na wenzake miaka kumi iliyopita, lakini Lissu huyu huyu ndiye aliyekuwa prosecutor wa kina Zitto wakati wa disciplinary hearings za CHADEMA kipindi kile. Au miaka kumi baada ya kina Zitto kuvuliwa uanachama Lissu ndio amekuwa mkweli na muwazi?
 
..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.

..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.

..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.

..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.

..Tundu Lissu ni mtu, au mwanasiasa, wa aina gani?
Wakiwa wote wawili na swahiba wake hakuna mkweli hata mmoja labda kwa kipindi hiki cha huruma ndio wanaomuhurumia wanamuona mkweli
 
Mtu akifanya nini hasa ndio anakuwa amezingua? Mapambano anayoyaendesha Lissu sasa hivi dhidi ya Mbowe ni mapambano yale yale aliyoyaendesha Zitto na wenzake miaka kumi iliyopita, lakini Lissu huyu huyu ndiye aliyekuwa prosecutor wa kina Zitto wakati wa disciplinary hearings za CHADEMA kipindi kile. Au miaka kumi baada ya kina Zitto kuvuliwa uanachama Lissu ndio amekuwa mkweli na muwazi?
Na bado mtabwabwaja sana. Mtu akitumika na CCM anakuwa amezingua big time.
 
Ufalme hutunzwa kwa siri, kama hujui kuchuja basi hufai kuwa mfale, kama hutambui kumchafua mwenyekiti ni sawa na kukichafua chama basi hujielewi.
 
..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.

..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.

..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.

..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.

..Tundu Lissu ni mtu, au mwanasiasa, wa aina gani?
Leasser beam that's what i can call him
20241218_051429.jpg
 
..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.

..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.

..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.

..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.

..Tundu Lissu ni mtu, au mwanasiasa, wa aina gani?
Mkweli , wasiotaka ukweli wanajijua
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanasiasa na mwanaharakati.
CDM bado inamuhitaji kiongozi mwanasiasa.
Wana harakati wote ndio walioleta mabadiliko hapa Duniani,hata Nyerere aliongoza harakati za Tanganyika kupata Uhuru.Je Nyerere hakuwa kiongozi.l??
 
Back
Top Bottom