- Thread starter
- #81
Mkuu, ninonavyo, kuna walakini kubwa kwenye story ya Lisu. Yeye kama lawyer na mzoefu kwenye siasa za Bongo he should have done better than that. So far hana ushahidi amvso ni convincing. Huyo mtu wa nne ni na nani?
Halafu huyo aliyempa ushahidi halafu akafa ni nani? Na huo ushahidi aliopewa kuhusu pesa za Mama Abdul ni upi kama siyo story yake? Kama yuko open kama anavyodai atoe huo ushahidi kwa vile aliyempa amekufa.
..kuna ushahidi wa kuona.
..kuna ushahidi wa kusikia.
..sasa ni katika eneo gani unadhani Lissu amekosea?
..Abduli alifuata nini nyumbani kwa Lissu?
..hivi unaamini alikuwa na nia njema?
..urafiki wa Abduli na viongozi wa Chadema unaamini una afya kwa siasa na demokrasia yetu?
..hivi mmejiuliza Abduli anatoa wapi fedha? Ana biashara gani? Au biashara yake ni kuwa mtoto wa Malkia?
..Abduli na wanaompa fedha wana madhara makubwa sana kuliko wana Chadema waliohongwa. Tushughulike na Abduli kama tuna nia ya kweli kulisaidia taifa.