It isn’t an exact science; your perception is your reality!..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.
..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.
..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.
..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.
..Tundu Lissu ni mtu wa aina gani?
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanasiasa na mwanaharakati.
CDM bado inamuhitaji kiongozi mwanasiasa.
Ni kweli Lisu ni mkurupukaji. Lisu ni mropokaji. Anaongozwa sana na emotions. Anataka chama chote kiwaze kama yeye, na kwamba yeye ndiye anamiliki ukweli. Tujiulize, Malema yuko wapi? Muda ni mwalimu mzuri. Lisu haya anayoyasema sasa, wamwache aseme, yakiisha hatakuwa na jipya. Lisu ni mvurugaji tu. Mkirogwa mkampa kura zenu, CHADEMA kwishnei...Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.
..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.
..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.
..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.
..Tundu Lissu ni mtu, au mwanasiasa, wa aina gani?
Ni kweli Lisu ni mkurupukaji. Lisu ni mropokaji. Anaongozwa sana na emotions. Anataka chama chote kiwaze kama yeye, na kwamba yeye ndiye anamiliki ukweli. Tujiulize, Malema yuko wapi? Muda ni mwalimu mzuri. Lisu haya anayoyasema sasa, wamwache aseme, yakiisha hatakuwa na jipya. Lisu ni mvurugaji tu. Mkirogwa mkampa kura zenu, CHADEMA kwishnei.
chadema haiwezi kufa kwa hulka za lissu, mbona ccm haikufa kwa hulka za magufuli?Ni kweli Lisu ni mkurupukaji. Lisu ni mropokaji. Anaongozwa sana na emotions. Anataka chama chote kiwaze kama yeye, na kwamba yeye ndiye anamiliki ukweli. Tujiulize, Malema yuko wapi? Muda ni mwalimu mzuri. Lisu haya anayoyasema sasa, wamwache aseme, yakiisha hatakuwa na jipya. Lisu ni mvurugaji tu. Mkirogwa mkampa kura zenu, CHADEMA kwishnei.
Mwisho jiulize, kwa nini wakati anatangaza nia, alisema, "akishindwa uchaguzi hakutakuwa na wa kumnyamazisha"?
Sijui umeandika kitu gani mkuu..umejichanganua changanya sana mpaka wasomaji tumechanganyikiwaKuna anayoyajua kweli na kuweza kukupa somo.
Kutokana na imani hiyo ya kujua kama mwalimu anadhani, wote tupo tayari kumeza ujinga hata anapo ongopa.
Anachokera zaidi ni pale anapotumia trust yake mbele ya jamii kwamba ni mwelewa wa sheria kama mwalimu wao. Halafu yeye ku-abuse hiyo kuwapotosha kwa maslahi ya mabeberu and against national interest (hapo ndio wengine tunapomdharau).
Ni mtu wa hovyo (overall), hata kumvaa Mbowe motive zake sio za kuijenga CDM ni maslahi yake ya kugombea uraisi.
Hoja zake za kutokukubali maridhiano ni ujinga mtupu. Kwenye kichwa chake Mbowe hakuwa na makosa na watu kama nyie zama hizo (wakati jeshi la polisi) lilikusanya ushahidi wa mipango yake ya kulipua vituo vya mafuta (Mbowe ni gaidi).
Samia kasemehe yote hayo, same sakata la mzee Kibao (CDM ulihusika) labda kwa kushirikiana na usalama wa taifa (it’s obvious for those who can tie the dots).
Mbowe hafai, lakini hana uwezo na self serving (he is just shallow) on leadership matters.
Same as in CCM and TISS (details zake huko, kuna watu hawataniwi) kwa hivyo sio ya kuyaongelea.
Why in earth would someone put hope kwa taahira kama Lissu that’s, beyond me.
Lissu ni mtu wa hovyo kweli-kweli and very compromised ni taahira tu anaweza msikiliza mijinga yule (he is so shallow) and annoying to me.
Kwa hiyo bado unataka apewe mwenyebkikoba chake?Ni kweli Lisu ni mkurupukaji. Lisu ni mropokaji. Anaongozwa sana na emotions. Anataka chama chote kiwaze kama yeye, na kwamba yeye ndiye anamiliki ukweli. Tujiulize, Malema yuko wapi? Muda ni mwalimu mzuri. Lisu haya anayoyasema sasa, wamwache aseme, yakiisha hatakuwa na jipya. Lisu ni mvurugaji tu. Mkirogwa mkampa kura zenu, CHADEMA kwishnei.
Mwisho jiulize, kwa nini wakati anatangaza nia, alisema, "akishindwa uchaguzi hakutakuwa na wa kumnyamazisha"?
Ni Mropokaji!..Huyu bwana ni mwanasiasa tofauti sana, na wa aina yake miongoni mwa wanasiasa waliokuwepo, na waliopo.
..Tundu Lissu ni mtu aliye moto muda wote. Hakuna kipindi yuko wa vuguvugu, au wa baridi.
..Ni mwanasiasa ambaye wasiomkubalana naye wanamchukia kupita viwango, na wanaokubaliana naye wana mahaba naye kwelikweli.
..Katika kujaribu kumchambua wapo wanaoamini Tundu Lissu ni msema hovyo, na mropokaji. Kwa upande mwingine kuna wanaoamini Tundu Lissu ni mpenda haki asiyepindisha, na msemakweli kupita kiasi.
..Tundu Lissu ni mtu, au mwanasiasa, wa aina gani?
‘With me’ by now you should learn not to follow the ‘herd influence’ uoni wenzako wenye akili timamu wanao nilalamikia viongozi wa vyama zote kurudia maneno yangu.Sijui umeandika kitu gani mkuu..umejichanganua changanya sana mpaka wasomaji tumechanganyikiwa
Just like magu, likija suala la ukweli hawafungi mdomo. Na wabongo hampendi soon mkaanza kumpiga vitaNi Mropokaji sana asiye na breki ya mdomo wake.
Lissu is not malema, hawa ni two different peoples wiht different political approachNi kweli Lisu ni mkurupukaji. Lisu ni mropokaji. Anaongozwa sana na emotions. Anataka chama chote kiwaze kama yeye, na kwamba yeye ndiye anamiliki ukweli. Tujiulize, Malema yuko wapi? Muda ni mwalimu mzuri. Lisu haya anayoyasema sasa, wamwache aseme, yakiisha hatakuwa na jipya. Lisu ni mvurugaji tu. Mkirogwa mkampa kura zenu, CHADEMA kwishnei.
Mwisho jiulize, kwa nini wakati anatangaza nia, alisema, "akishindwa uchaguzi hakutakuwa na wa kumnyamazisha"?
Kiongozi mwanasiasa amewapeleka wapi mpaka sasa? For how many years wameongozwa na mwana siasa? CDM inahitaji aggressive person kutoka hapoKuna tofauti kubwa kati ya mwanasiasa na mwanaharakati.
CDM bado inamuhitaji kiongozi mwanasiasa.