Je, Tundu Lissu ni mkweli kupita kiasi, au ni mropokaji?

Angekuwa msema hovyo na mropokaji asingepigwa risasi zote zile katika jaribio la kuupora uhai wake pale Area D Dodoma.
 
Hana mipango shirikishi ni mkutipukaji mzuri.Anachoamini yeye ni sahihi ya wengine hayana maana.
Kama kipi hicho unachosema anachoamini yeye ndio hicho hicho ya wengine hayana maana?
 
mkweli na HAJUI kuficha hisia zake
 
Bado hajajua wapi atumie siasa na wapi atumie uanaharakati - si mtu sahihi kuongoza CDM kwa sasa.
 
Lissu anakulaza viatu Toka awamu 5
 
Mtu akifanya nini hasa ndio anakuwa amezingua? Mapambano anayoyaendesha Lissu sasa hivi dhidi ya Mbowe ni mapambano yale yale aliyoyaendesha Zitto na wenzake miaka kumi iliyopita, lakini Lissu huyu huyu ndiye aliyekuwa prosecutor wa kina Zitto wakati wa disciplinary hearings za CHADEMA kipindi kile. Au miaka kumi baada ya kina Zitto kuvuliwa uanachama Lissu ndio amekuwa mkweli na muwazi?
 
Wakiwa wote wawili na swahiba wake hakuna mkweli hata mmoja labda kwa kipindi hiki cha huruma ndio wanaomuhurumia wanamuona mkweli
 
Na bado mtabwabwaja sana. Mtu akitumika na CCM anakuwa amezingua big time.
 
Ufalme hutunzwa kwa siri, kama hujui kuchuja basi hufai kuwa mfale, kama hutambui kumchafua mwenyekiti ni sawa na kukichafua chama basi hujielewi.
 
Leasser beam that's what i can call him
 
Mkweli , wasiotaka ukweli wanajijua
 
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanasiasa na mwanaharakati.
CDM bado inamuhitaji kiongozi mwanasiasa.
Wana harakati wote ndio walioleta mabadiliko hapa Duniani,hata Nyerere aliongoza harakati za Tanganyika kupata Uhuru.Je Nyerere hakuwa kiongozi.l??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…