Je, Tundu Lissu ni mkweli kupita kiasi, au ni mropokaji?

Mulopokaji ni mtu anayesema mambo asiyiyajua,emu niambie ni jambo gani Lissu aliwahi kulitamka au kuwaambia watu ilihali alijui,pia utuambie mambo ambayo wewe unayajua vizuri kumshinda Lissu katika hizo anga za Politics.
 
Nilikua lissu hadi dakika ya mwisho niliposikia kuhusu yeye na yule mkewe!!

Hapo nilituliza akili sana kuanza kuchambua background yake.... he needs prayers!
 
Hivi hizi ni akili au matope hivi unawezaje kufanya maridhiano kwa kitu ambacho kinatambulika kikatiba?,ilipaswa watu waelezwe CCM na Serikali mpaka waondoe hilo katazo sio kwa njia ya kwenda kuomba-huo ni uendawazimu.
 
Nilikua lissu hadi dakika ya mwisho niliposikia kuhusu yeye na yule mkewe!!

Hapo nilituliza akili sana kuanza kuchambua background yake.... he needs prayers!

..Chadema needs prayers ili kiweze kusoma alama za nyakati, na kuchagua kiongozi anayetarajiwa na wananchi.
 
..Chadema needs prayers ili kiweze kusoma alama za nyakati, na kuchagua kiongozi anayetarajiwa na wananchi.
Kama Lissu anatakiwa na wananchi naamini atachaguliwa kwa kishindo...the only hope niko nayo CHADEMA wataonesha kweli demokrasia siku ya uchaguzi.
 
Kama Lissu anatakiwa na wananchi naamini atachaguliwa kwa kishindo...the only hope niko nayo CHADEMA wataonesha kweli demokrasia siku ya uchaguzi.

..chama kimedorora.

..bila watu wa kawaida, wasiokuwa wajumbe wa mkutano mkuu, au wanachama, kukiunga mkono chadema inakwenda kupotea.

..mgombea uwenyekiti anayepigiwa kampeni, na kusaidiwa katika propaganda, na watu wa CCM, hawezi kuwa mtu sahihi wa kukivusha chama ktk mazingira ya sasa hivi.

..Chama kinahitaji kiongozi mjenga hoja mzuri kuzidi wajenga hoja walioko Ccm. Kinahitaji kiongozi anayeaminika kuliko viongozi walioko Ccm.

Kinahitaji a TOUGH negotiator, mtu aliye upande wa wananchi, ikiwa chama kitalazimika kwenda kwenye meza ya mazungumzo.
 
What if watu wa CCM wanafanya kusudi ili kuchochea moto? Are you serious? Are you okay?? Really??
 
What if watu wa CCM wanafanya kusudi ili kuchochea moto? Are you serious? Are you okay?? Really??

..inawezekana wajumbe wanampenda na kumuamini Freeman Mbowe.

..lakini huku nje kwa wananchi anayekubalika na kuaminiwa ni Tundu Lissu.

..CCM wanapenda wenyeviti wote wa vyama vya upinzani wawe kama John Cheyo, au Ibrahim Lipumba, yaani wanasiasa ambao Watanzania wanawapuuza.

..CCM wanatamani sana Freeman Mbowe aendelee ili Chadema idorore, na hatimaye kupotea ktk fikra za Watanzania.
 
Wananchi gani? Hawa wapenda Mpira na pombe?
 
Mkuu wahi Mirembe kabla hali haijawa mbaya zaidi! Pitia ulicho andika halafu uone kama hata wewe mwandishi utakielewa ulicho andika!
 
Ni mwamba kweli kweli haogopi maana alishapita katika bonde la uvuli wa mauti hana cha kumtisha!
Kama ni mimi ile alivyotoroka tu kifo nisingethubutu tena kuendelea na siasa
 
Alikurupuka au kuropoka katika jambo gani?
 
How story ya Wenje iwe na mashiko?
 
Anaongea Mpumbavu Mmoja ambaye hana hata Nusu ya IQ ya Lissu, Lissu amprove kwa miaka zaidi ya 20, Beyond Reasonable doubt kwamba angalau kwa sasa yeye ndiye Mwanasiasa wa Kumuamini, Mwenye Hoja, Mwenye kutifua Mambo.
Lissu angekuwa na madhaifu hayo au info zake zisingekuwa na Tija Serikali ya JPM isingehangaika naye, ya Samia isingehangaika naye.
Yeyote yule anayemwita Lissu Msema hovyo, Mropokaji, ana matatizo kadhaa kati ya haya
  • Uwezo Mdogo wa Akili
  • Mfuasi wa Mbowe
  • Kada wa CCM
  • Mnufaika wa Mfumo
Mwisho, Ogopa mtu ambaye Serikali inafuatilia "Lissu leo kasema nini"
 
Mithali 18
18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu.
Majibu utayapata baada ya Uchaguzi.
 
What is your point exactly...?

Maana umeandika fulscape ya insha lakini haielweki umelenga wasomaji wajue nini...

Kwani unamchukia Tundu Lissu?

Usaidiweje sasa kama una hali hiyo kwake?

Kilichobarikiwa na Mungu kimebarikiwa tu, hakuna wa kukilaani...

Tundu Lissu kabarikiwa. Mungu Yehova amembebesha kusudi maalumu kwa ajili ya nchi na taifa hili...

Kwa akili yako ya kawaida tu, hujiulizi ikawaje risasi 16 zilishindwa kuutoa uhai wake..?

Kama sio nguvu na ulinzi wa Mungu Yehova kwa mtu huyu unadhani ni kitu gani..?

Fikiria vizuri ndugu..
 
How story ya Wenje iwe na mashiko?

Story yake Iko more straight kuliko ya Lissu. That's my observation.

Kwa nini Lissu alitaka mkutano nyumbani kwake halafu hakutafuta shahidi wakati anajua kuwa yuko under the ladder halafu anakutana na mtu aliyemtuhumu?
 
Story yake Iko more straight kuliko ya Lissu. That's my observation.

Kwa nini Lissu alitaka mkutano nyumbani kwake halafu hakutafuta shahidi wakati anajua kuwa yuko under the ladder halafu anakutana na mtu aliyemtuhumu?

..Na kwanini Abdul na Wenje walitaka Lissu awafuate hotelini?

..kwa taarifa yako alikuwepo mtu wa nne, ambaye ameeleza ujinga ambao Abdul na Wenje walimpelekea Lissu.

..aliyeanza kumtafuta mwenzake ni Abduli, sio Tundu Lissu. Sasa nia ya Abduli kutaka kujuana na Lissu ilikuwa ni nini?
 

Mkuu, ninonavyo, kuna walakini kubwa kwenye story ya Lisu. Yeye kama lawyer na mzoefu kwenye siasa za Bongo he should have done better than that. So far hana ushahidi amvso ni convincing. Huyo mtu wa nne ni na nani?

Halafu huyo aliyempa ushahidi halafu akafa ni nani? Na huo ushahidi aliopewa kuhusu pesa za Mama Abdul ni upi kama siyo story yake? Kama yuko open kama anavyodai atoe huo ushahidi kwa vile aliyempa amekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…