Je, Tundu Lissu ni mkweli kupita kiasi, au ni mropokaji?



..kuna ushahidi wa kuona.

..kuna ushahidi wa kusikia.

..sasa ni katika eneo gani unadhani Lissu amekosea?

..Abduli alifuata nini nyumbani kwa Lissu?

..hivi unaamini alikuwa na nia njema?

..urafiki wa Abduli na viongozi wa Chadema unaamini una afya kwa siasa na demokrasia yetu?

..hivi mmejiuliza Abduli anatoa wapi fedha? Ana biashara gani? Au biashara yake ni kuwa mtoto wa Malkia?

..Abduli na wanaompa fedha wana madhara makubwa sana kuliko wana Chadema waliohongwa. Tushughulike na Abduli kama tuna nia ya kweli kulisaidia taifa.
 
Story yake Iko more straight kuliko ya Lissu. That's my observation.

Kwa nini Lissu alitaka mkutano nyumbani kwake halafu hakutafuta shahidi wakati anajua kuwa yuko under the ladder halafu anakutana na mtu aliyemtuhumu?
Kwaiyo nawewe unaona sawa kabisa kiongozi mtarajiwa kuwa na urafiki na Abdul ambaye kiongozi wako mtarajiwa anabebwa na kusaidiwa na mtoto wa Rais kukamilisha mambo yake alafu unatarajia asimame jukwaani aseme mabaya ya serikali ya Mama yake?
 
Lisu hafai ni emotions. By the way husimamia anachoita ukweli than baadae uchunguz ukifaanyika anaonekana mropokaji
 
Umejibu swali laJoka kwa usahihi!
 
Kinacho nifurahisha , in hali ya Wana CCM Chawa; kutamani Mbowe amshinde Lissu ! Sijui haya mahaba yametoka wapi!?/Ghafla tuliyeambiwa ameover stay,anaongoza SACCOS,Chama cha Mkwewe......!Leo wanamtaka tena !Ama kweli CCM haina ajenda!
Go,Go,Go Simba Antipus Lissu!
 
Heb
Lisu hafai ni emotions. By the way husimamia anachoita ukweli than baadae uchunguz ukifaanyika anaonekana mropokaji
Hebu tumpe kamfano ' kidogo tuipime hoja yako!
 
Hadi wakaamua kutumia Bunduki baada ya kumshindwa kwenye vyombo vya sheria bado mnaamini ni mropokaji?

Huyu mtu anajua anachokifanya. Ropokeni na nyie kuhusu Mama Samia muone kitachowapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…