Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Weka mapungufu pembeni, Makonda ni kiongozi mzuri Sana.
Hakuna binadamu asiye na mapungufu(kasoro), Kama yupi nionyesheni.
Mh. Makonda ni kiongozi mzuri ambaye kwa wakati huu utawala huu atatusaidia sana.
Mama Samia ikikupendeza fanya jambo kwa huyu Mtu, Kuna sehemu mbili naziona ana-fit Sana.
1) Waziri wa mambo ya ndani
- Simaanishi aliyepo ni kiongozi mbaya la hasha, Ila bado kuna mambo hayaendi sawa. Wezi wanatulaza macho, huwezi amini nyumba yako Ila usiku kucha unawaza kuwa mlinzi. Mh Makonda ni mtu ambae kwenye utendaji Hana simile. Wizara itabadilika hii, Mama fanya jambo hii wizara inataka Mtu mtata,mbishi na jasiri.
Najua Kuna nafasi za ubunge wa kuteuliwa bado zipo wazi, fanya jambo mama.
2) Mkuu wa mkoa wa Dar
- Watu wanasema TZ ipo dar, kuna ukweli hapo.
Aliyepo ni mzuri Ila yupo slow Sana,Kuna mambo mengi yamekwama kunahitajika Mtu wa ku-push mambo yaende. Huu mkoa unahitaji Mtu mtata sana aina ya makonda.
Mama fanya jambo, aina ya watu kaama Mh.Makonda sio wa kuwaacha kwenye utawala wako.
Jembe hili, Field Marshall
Chini ni picha ya Field Marshall Paul Makonda