Je, ualimu ni kwa ajili ya watu maskini?

Nyie ambao sio walimu mmefanikiwa kiasi gani katika haya maisha

Kuna wakati ukiwakuta watu wanawaponda walimu Ila tazama hao wapondaji ndo utajua kuwa hii nchi na MTU mweusi ni MTU mjinga Sana.
Pokea changamoto hakuna anaempinga mwalimu, nawajua washikaji wengi waliokacha ualimu wakaenda kujiongeza kwenye mambo Yao mengine, wengine kabla ya kuajiriwa walijiongeza huko sasahivi uwaambii kitu kuhusu kufundisha hawataki kabisa kusikia.
 
Daah
 
Asante point kubwa hii, yote kwa yote nilichoelewa zaidi hapa ni kuwaza nje ya box na sio kutegemea mshahara.
 
Pokea changamoto hakuna anaempinga mwalimu, nawajua washikaji wengi waliokacha ualimu wakaenda kujiongeza kwenye mambo Yao mengine, wengine kabla ya kuajiriwa walijiongeza huko sasahivi uwaambii kitu kuhusu kufundisha hawataki kabisa kusikia.
Hamna changamoto yoyote unaishi katika illusion Sana.

Kazi yoyote unayoijua huwa haina uwezo wa kukupa mafanikio makubwa Ila unaweza kutumia kazi yako Kama stepping stone ukawekeza in various things.


Mafanikio huwa yanamfata MTU mwenye malengo makubwa na mazuri na MTU smart na sio MTU mwenye decent income.


Kuna watz wangapi kupitia decent income zao wamewekeza kufika hata angalau mil 500 so think twice and deeply.
 
Kuna MTU alikuwa mbunge wa ccm wa Bukoba siwezi mtaja jina lakin baada ya kutoka bungeni alirudi kuwa broke.

Kuna watu kibao walikuwa TRA Ila leo wapo broke.

Kuna wengine walikuwa jeshini na vyeo vikubwa Ila now wapo broke.

The list is endless

Wote hawa Sababu ya wao kuwa broke walikosa Financial education kutoka Kwa walimu ili wasimame imara.

Unapokuwa mwalimu ,jiboreshe kuwa na maarifa ya muhimu ambayo unaweza mpatia MTU akapata mwanga, kuwa mentor mzuri


Kinachowafelisha walimu ni kutobadilika kutokana na mahitaji ya jamii na kubaki kuamini kuwa niwalimu wa Masomo ya necta tu.


The chances are ,nikubadilika na kuwa knowledgeable enough.
 
• Mkuu, yani kuna watu waajabu sana, Mtu unamchukia/au unauchukia ualimu, ¿¿¿

• Basi sasa achukue huyo mtoto wa miaka saba kisha ampeleke akasomee urubani, [emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] ni umaskini wa kufikiri.

Wangejua miongoni mwa kazi ambazo hata Mungu anaweza toa thawabu juu ya kile wanachokifanya duniani mwalimu hakosekani kwenye hiyo list.

Hv unajua kumfanya mtu ajue kuandika na kusoma Tena Kwa lugha ambayo hakuzaliwa nayo sio kitu Cha kudharau sema basi tu.

Kumfanya mmasai, mgogo, mmakonde, Muha n.k anaongea English imenyooka kama mzungu nyieeeee nyieee acheni dharau na kazi za watu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ndio naweza mruhusu asomee ualimu ila wa watoto wadogo ,awafundishe kusoma na kuandika, kama ata kuwa na huo wito.
Ww unajua utoafuati wa ualimu ni kitu Gani ? Yaani huyo anayefundisha nursery, primary , secondary, chuo.

Hadi useme asomee wa watoto wadogo, mwalimu ni mwalimu no matter utamkuta level Gani au unafikr huo wa watoto unasomwa week 1 sio?
 
Hiki ni kibarua chetu sie masikini tu tusio na 'konekisheni'🤣🤣🤣
Huo ndio uhalisia ndugu? Na Imani Mzazi aliepo TRA au aliepo kwenye position nzuri hawezi kuruhusu mtoto wake awe Mwalimu, hiki ni kichaka kwa sisi waomba Mungu tu tusio na connection na watu, Mimi hobby yangu na ndoto zangu huwa ni biashara lakini unajikuta upo sehemu ambayo moyo haupo kabisa, eg umepangwa kigoma huko yaani ndoto zako zoote zinakufa huko utafanyaje?
 
For sure kada ya kipumbafu Sanaa hii although ndo inanipa kula Ila NI ya kipuuzi HAKUNA mwalimu anaejivunia kua mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…