Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
- #81
Huo ndio ukweliWaalimu mnazingua sana, na mkiambiwa ukweli mnalia lia tu. Hilo nililolisema hapo juu limetokea sehemu nyingi za hii nchi na wakuu wa wilaya na ma ded wamewahasa sana wqlimu muache kukopa kopa hovyo.
Fani nyingine hazina mambo kama yenu waalimu, kulia lia hovyo kwa DED na wakuu wa idara. Waalimu ndio kada inayoongoza kwa kwenda halmashauri kujipendekeza na kulia lia, huwezi kwauta manesi au kadi zingine wakifanya huu ujinga. It's always waalimu.
Badilikeni mtaheshimika.