Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Wapendwa ss hivi nimewekewa limit na shemeji yenu ikifika saa 6 nilale haijalishi niko zone ipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa Tz ikisomeka saa 00:00 kuchat mwisho, hivo kwaherini ndoa tamu [emoji12]
Nasemajeeee Ndoaa tamuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa wapi ww! Haya ntag location tukapate tuvitu vitu unalalaje saa sita na wakati bar......au bas
🀣🀣🀣 Njoo dukani uniletee na ceres juice ya baridi bas mtu wangu
 
Nasemajeeee Ndoaa tamuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣 Hii ndoa yangu ngumu udugu ina vigezo na masharti mengi, nitaitema soon ngoja tuone
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ucnambiee uduguuu, sa unaninyimaje ubuyuu wa motoo hiviii?

Jaman had nomo text kablockiwa, akuuh sitaki.
Lol
Hapo tusikitike tyuu!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ndoa yangu ngumu udugu ina vigezo na masharti mengi, nitaitema soon ngoja tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee tenaa Kunguruu mweusi, lini wafugikaa??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu kashahenyeshwa na kubwagwaa.
Woiiiiih
Utapigwa me simo πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
πŸ˜€πŸ˜€Kikao gani bwana maishayang tu kikao tosha uhakika wa Milo 3 tu sinaπŸ˜‚πŸ˜‚ubwabwa utakula usiwaze
Mhm ubwa wenyewe nitakula walati mapumbuz tayari yana wrinkles 🀣🀣🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣 Kweli dada angu umenichoka
Ko me sifugiki? Au ntakuwa nimerithi tabia za bro 😜
Inaonyesha ni tatizo la kinasaba🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ucnambiee uduguuu, sa unaninyimaje ubuyuu wa motoo hiviii?

Jaman had nomo text kablockiwa, akuuh sitaki.
Lol
Huyo udugu wako Lamomy mchoyo sana wa ubuyu,mwache aule mwenyewepaka umchachue meno....juzi kaniringishia halafu hajanipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…