Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

πŸ˜‚πŸ€£Mimi walinambia naandika kama mwanaume,nikawajibu njoo niwaoe,manake mimi Nina k Tena yamotoooπŸ˜‚πŸ€£
 
Wewe mpenda pombe aina ya c/lite.
Unapenda sana kutoa offer ukiwa baa.
Pombe sio mtumiaji sana, natumia za asili Kwa kiasi kidogo ila zingn zote nliwahi jaribu mara Moja tu

Ila kampan yangu wanakunywa sana na nkiwakuta wanakunywa kutembeza kreti sio shida
 
Watanzania wengi hapa na kwengineko mitandaoni ni kama vile ni wafia dini, ila mtaani wanaishi na watu wa dini nyengine kwa upendo na muingiliano mkubwa.

Wanachokiandika mitandaoni hakiakisi uhalisia.

Issue za kisiasa pia, ukiingia mitandaoni ni kama kwamba watu wanakufa njaa kutokana na uongozi mbovu wa Chama tawala ila mtaani wapo poa sana.

Kwa upande mwengine mtandaoni watu wanapenda kujifanya wanamaisha mazuri, hali ambayo haiakisi kabisa kipato chao.
 
πŸ˜‚πŸ€£Mimi walinambia naandika kama mwanaume,nikawajibu njoo niwaoe,manake mimi Nina k Tena yamotoooπŸ˜‚πŸ€£
Ila huu m wandiko wa kiume wewe km Mwanamke utakua na bonge la besi yaan sauti nzito sauti ya zege,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…