Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

Yani unamuita bibi binti?🤣🤣
 
Tunayoyaandika yanaakisi tunayowaza ila sivyo ndivyo tulivyo.....mi kama mimi ni kama mange, mange ukimsoma anaandika migazetiii ila ikija kwenye kuongea hawezi ndivyo hivo nilivyo, kwenye kuandika nauperepetaaa ila kuongea sasa Es sio muongeaji mie.
 
Aiseer nimecheka sn 🤣🤣
Sio Kwa hii analysis 🙌🙌🙌
 
uandishi ni sanaa, unabadilika kama kinyonga,
ndio maana leo hii jamaa flani anaweza anaandika bandiko kana kwamba yeye ni demu au pisi kali fulani hivi la kuvutia town, kesho huyohuyo akaandika kama jamaa moja apostel hivi mtu wa mungu kumbe ni jambazi wa cm tu hapo kitua cha bodaboda,

muandishi huyo huyo mtondogoo anakuja na bandiko la kuhuzunisha ama kufurahisha ama kuburudisha, ama kujigamba ama mwansiasa, ama dakitari n.k nk.

kuna vitu zaidi ya uuandishi kwa pamoja ndivyo vinaweza tambulisha Tabia ya mtu...
 
Ebu nichambue mimi mama mchungaji maana hiyo picha ni yangu na jina ninalotumia ni langu pia
 
Tunayoyaandika yanaakisi tunayowaza ila sivyo ndivyo tulivyo.....mi kama mimi ni kama mange, mange ukimsoma anaandika migazetiii ila ikija kwenye kuongea hawezi ndivyo hivo nilivyo, kwenye kuandika nauperepetaaa ila kuongea sasa Es sio muongeaji mie
 
Pole Sana, mkuu ndiyo ukaamua kuwachukia jumla?
Sitamani hata kuwaskia kbs ila Sasa sehemu pekee najaribu kuonesha ni humu tu lkn ktk mazingira ya kawaida kama hana mahaba ya kidini tunaishi vzr lkn nkiona sielew elewi mapema nakuepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…