Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Life begins @ 40.
Hii kauli haiko valid kwenye maswala la kifamilia labda kiuchumi tu, unatengeneza familia ukiwa na miaka 40+ halafu unastaafu kazi mtoto wako wa kwanza akiwa darasa la 7 huku nyuma bado kuna wadogo zake, hii team unailea vipi? Hata kama tukiondoa swala la kustaafu, naamini kwamba hautakuwa na nguvu za kuwapambania hawa watoto.

Matokeo yake ni kupata kiarusi na presha kwa msongo wa mawazo na stress za kukabiliana na mahitaji makubwa ya kifamilia katika nyakati za uzee wako.

VIJANA WANATAKIWA KUACHA UOGA WA MAISHA, badala yake wakabiliane nayo uso kwa uso kama jinsi ambavyo wazee wetu walifanya zamani.
 
Sio kweli. Kuchukulia poa kwa namna gani? Misingi ya malezi ndio inaamua mwanamke anaichukuliaje ndoa.

Kwa mwanaume ndoa ni kuwajibika na matunzo ya mke na watoto wake. Kwa mwanamke ndoa ni kusimama na mwanaume na kutekeleza majukumu yake kama mke.

Sasa swala la kuchukulia poa it means kama mwanamke hana maandalizi mazuri kutoka kwenye ukoo wake ndoa lazima iwe kazi na mzigo ila akijengwa kimaadili na kujua majukumu yake aaah ndoa ni rahisi kama kumsukuma mlevi.
 
financial services financial services
 
Unastaafu vipi na hata ajira hauna.
 
Mbona me nimeona na nimesoma na wanawake wakiwa katika hali ya uzazi kuanzia wakiwa na mimba hadi wananyonyesha na wameenda fresh tu na sasa wana watoto hadi 4 na life inaenda.
Binadamu tunatofautiana si kila mtu anaweza kubalance kulea na kusoma na asiyeweza usimlaumu wala usimlazimishe, sijui kwanini wanaume huwa mnataka kila kitu kinachohusu mahusiano kiwe in your favor, hata kama itamaanisha mwanamke kukosa furaha hilo ninyi haliwahusu
 
Mdogo wake kwamba inakuwa haipiti au ikipita inatokezea mdomoni.
Nipo kwenye maandalizi ya kumsaka mwanamke aliyenizidi miaka 10.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa chief ukisema swala la haipiti huo ni uzinzi. Sababu wazinzi kokote wenyewe inapita hata kwa watoto..!
Sasa mwanamke aliyekuzidi 10yrs unataka kuoa mama zako wadogo??
 
Mbona me nimeona na nimesoma na wanawake wakiwa katika hali ya uzazi kuanzia wakiwa na mimba hadi wananyonyesha na wameenda fresh tu na sasa wana watoto hadi 4 na life inaenda.
3/10. Achana na wale wa vyuoni wanaopata mimba hazikuwa kwenye mpango. Hao hawana budi kukaza sbb hawana choices.

Nazungumzia kurudi shule. Paelewe hapo
Mtu ushaingia kwa mfumo wa ajira, ndoa, ulezi. Ni ngumu kurudi kuongeza shule ilihali mtoto bado mdogo, ndoa uihudumie, ajira uihudumie nk
 

Safi umenena kwa upendo na kwa hekima kubwa!
 
Umechagua sahihi, usizae hovyo. Ingia kwenye ndoa utafutie watoto humo, hata malezi yanakuwa na uelekeo mzuri. Sio huyu anaishi na mama A, yule yupo na mama B. Hata kipato chako kinaishia usipoelewa.
Yeah siwezi thubutu kufanya hivyo yaani hata mechi zangu hua makini kwenye hilo.

Nimeona kwa kaka zangu wamezaa watoto hovyo wa nje wanateseka kishenzi.

NB# Zawadi pekee nitakayojaribu kuwapa watoto wangu ni mama bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…