Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Inawezekana, ila support kubwa ya mume inahitajika.
 
Kwa mwaume siyo mbaya ila ukitoboa 40 siyo poa,ukichelewa ukapata MTU sahihi sion shida,mbaya nipale uchelewe afu upate mtu wa ovyo
 
Pole dada,mwanamke kisayansi kwa kubeba mimba zilizo salama ni miaka 20 hadi 35 before au after hapo kunakuwa na uzazi complicated ingawa sio compulsory as for magonjwa hayasomi vitabu kwamba lazima yatimize kilichoandikwa.
Ushauri wangu kwako,zaa mapema ili kibailojia usiwasumbue madaktari kupambana na matatizo yanayoweza kukupata wakati wa ujauzito au wakati unajifungua
 
Miaka 10 mlikuwa na mpango wa kupindua nchi mkuu?
Dah mkuu still najutiaga kumpotezea muda yule bint japo pia kwa upande mwingine sina kosa ilikua nje ya uwezo wangu maana shida ilikua kwenye dini yeye mkristu na mimi muslim na maisha yangu yalikua mjalala kuliko familia yake ililivyo.

Msumari mkubwa ulikuja kutokea yeye alitangulia kupata maisha kabla yangu change zikaanza mdogo mdogo ikafika stage kutokana na changamoto zangu za kimaisha nikawa siishi maisha yangu natumia nguvu kubwa sana kumlinda yeye asiondoke ila mwisho alikuja kuniacha kwa kashifa sana. Siku aliyoniacha ndo ilikua first day kuanza kazi ambayo ndo imeinua maisha yangu leo ila nilisikitika kwasababu nilitamani yale niliyomuahidi nikiwa majanga niyatimize ila imekua tofauti.

Yote kwa yote maisha lazima yaendelee man.
 
Mdogo wake kwamba inakuwa haipiti au ikipita inatokezea mdomoni.
Nipo kwenye maandalizi ya kumsaka mwanamke aliyenizidi miaka 10.
Mkuu unataka aliekuzidi miaka 10, au uliemzidi miaka 10?. Mkuu kama ni aliekuzidi basi ujiandae kimwili.
 
Umeongea jambo la msingi ambalo wengi hawalijui
 
ukiangalia maana ya kufunga ndoa au kuolewa msingi wake ni kuanzisha familia, yaani mke baba na mtoto. Na kuanzisha familia ni jambo rahisi sana, kwani ni makubaliano kati ya nyie wawili me na ke.

Cha kushangaza ni kwamba hawa mabinti siyo kwamba hawana mahusiano, wanayo tena mengi. Na katika mahusiano yao siyo kwamba hawapati mimba, wanazipata na wanazitoa.

Mwisho wa siku wanaanza kuhangaika na kulalamika eti hawana watoto wala familia.

Sasa unajiuliza hawa wanawake wanataka nini kama siyo ujinga na upumbavu wao?
 
Sio ukweli ni nguvu ya asili ndo inayotupa pressure ambayo huwezi iepuka kwa binadamu yeyote
 
Wingi unaanzia ngapi ewe debe tupu, kwa hiyo akiwa 30 hawezi kuzaa watoto wawili, watatu au hata wanne?
 
Maisha hayaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…