Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Hivi kwanini Mwanamke akifika miaka 25+ kama hana Mtoto wala Mume anachanganyikiwa alafu Mwanaume anaweza kua na 32+ hana Mtoto wala Mke alafu fresh tu hata hapagawi???
Mwanaume timamu akifika 30 tu bila mtoto akili inamcheza labda useme kupagawa kunatofautiana mwanamke anapagawa sana ila hakuna binadamu ambae akili haimchezi
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Jicheki kwa kioo, unajionaje

Rudi kwa ex chap, wanaume ni baba huruma mno wala hujachelewa kama utaamua kufanya maamzi ya haraka
 
Speaking from personal experience..
When approaching 30s kweli pressure ilikua just sana. And I always had a vow kua nkifika 30 I'm gon have a family regardless of my financial status.
By 29, hakuna ramani ilikua inasoma. I told my girlfriend, darling, we need to have a baby,. Akashangaa. Nkamwambia, life ni tight, yes sina life poa sana but sasa hv ndo nina nguvu
Alikataa, baadae around 31 huko akakubali, kimbembe kikaja hakukua na mimba. Tried a whole year b4 bein succesful.
to be honest, with time you get used to it, but mtoto anakupa changamoto ya kupambana zaidi. Every day I wake up at 5 a.m and my little girl anakua macho pia, we have our moments n I leave kwenda kwenye harakati. Its a good feeling wouldn't trade it for nufn.
So financial services, don't sweat it. Cha muhim upate the right person, ul never feel like you are late, it will be a start to the best chapter of your life
Congratulations brother.... You really have a calling in BROKEN English
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Sasa si unyooshe maelezo mshirika?
 
Kuna kitu nahitaji kuwafunza mabinti ambao hawajafika 30.

Ukipata mpenzi ukamuona anakupenda kwa dhati, yupo tayari kukutambulisha kwa ndugu zake na kwa familia yake.

Yamkini asiwe na kipato kikubwa sana ila ana uwezo wa kufanya wote mle na mkalala, ISHI HAPO.

Acha tamaa za kutaka uolewe na mwanaume mwenye pesa, muimbaji n.k mwisho mtakuja kuangukia kwa wanaume za watu, huyo mwanaume wa mtu unayemuona ana pesa, hazijaja tu hivi hivi, alianza chini kabisa kama huyo kijana ambae kwa sasa wewe unamdharau.

Kama umewahi kumnyanyasa kijana wa watu kisa masikini, yeye sijui hana umbo zuri n.k moyo wake ukaumia, katafute suluhu naye sababu huenda kuna mambo yako yakafunguka.

Mabinti sio kwamba mnakosa watu wa kuwaoa ila tamaa za maisha zimekuwa zikiwatesa wengi.

Sasa hivi kijana wa 30, 31, 32 hawezi kuwa na mwanamke wa 30, lazima atafute wa 24, 25 au 26 unless awe mpumbavu.

Girls kuweni makini sana na umri, uliowatupa kisa hawana ela, wakipata ela na wao watakuona wewe sio hadhi yao.
Umetema madini matupu... kwa mfano mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 ndo nataka nioe kigoli wa miaka 22.
 
Kwa vile umesema upo tayari kwa comment za aina zote naomba kutoa maoni yangu kwako financial services , umri ni namba tu.
Maisha kwa ujumla wake yamekaa kibinafsi zaidi na si yule ana taka mimi niwe wa namna gani.
Maisha yanakuwa maisha palipo na amani na furaha, hivyo vyote vinakuja si kwa wepesi bali kuna mchakato wa kuvipata.

Maisha ya familia ni sehemu ya maisha ya furaha, vile inamuona mtoto wako anavyokuwa kuna furaha ya namna yake unaipata .

Ila kuwana mtoto au familia kwa mwanamke sio kitu anachoweza kuamua iwe mwaka huu au mwaka kesho kwa vile nature inamtambua mwanaume kama mtendaji katika hilo na sio mwanamke.

Sioni kulaumiwa kwa mwanamke yoyote kama hajawa na familia kwa muda wanaotaka watu wanaokuzunguka.

Kwa hiyo usiwe na aina yoyote ya wasiwasi kwa hilo wala usitie matarajio ya haraka kwa hilo kwani inaweza kukusabishia ukosefu wa furaha wakati wote na kuondoa ile dhana ya maisha ambayo ni furaha.
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Acha umalaya.

Unatiwa kila siku ila hutaki kupata mimba, au ukipata mimba unazitoa.

Dawa yako ipo jikoni, utakapoanza angaika kwa manabii na waganga.
 
Back
Top Bottom