Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Sasa solutions ni nin?
 
30's mdada huna mtoto binafsi nawaona mko katika risk sana.

Huna Mpenzi hilo its okay,Umeshindwa jipambania ukapata mtoto? Taa nyekundu iwake kichwani mwako.

Ugumba/Utasa vipo wala sio hadithi za kusimulika. Ila make sure unapata myu sahihi wa kukupa Mtoto.

Acheni kuwaza kuhusu Mapenzi sana,kuna muda ufike muwaze kuhusu familia na familia sio Mume tu Familia ni Wewe na Mwanao/wanao.

Mume anaweza kukuacha anytime ila mtoto ndio familia yako,shida mnawazaga sana kuhus Mume, na bado mnachagua sana na mnaishia kupata macheck bob wanawaumiza na no mimba. Badilikeni.

30's usi relax upo hatarini labda kama Plan zako ni kuwa na mtoto Mmoja its Okay.

ila kama ni zaidi ya mmoja 30's alarm ishaanza kulia ...
 
Plan ni kuwa na watoto 4 mkuu😪
 
Unasumbuliwa na mapokeo ya kijamii. Wanaotuzunguka wanatupangia kuoa/kuolewa katika umri flani, kupata watoto, kazi nk...

Elewa kwamba ukienda tofauti na mapokeo ya kijamii hakuna baya litakalokukuta, ikiwa una sababu maalum.

Msongo wa mapokeo ya kijamii utakutesa kuliko hali unayopitia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…