Ng'ombe hazeeki maini,mwanamke kufika miaka 45 huna mtoto Kuna mawili kupata au kukosa kabisaa lkn mwanaume anapeta
Mwanaume ukifika 28 inatakiwa uwe umejipata na familia uwe nayoSasa we umezaa na umri mzuri kabisa unampa false hopes mwenzio. Azae haraka kashachelewa huyo. Mwanamke anawahi kuchoka sana kuliko sisi wa kiume. Yani kuanzia 30 mwanaume thamani inapanda sana sababu ndio tuko kwenye peak ya ujana na wahitaji familia wengi wanatazamia kwenye kundi hilo ila wenye chance ni wale walioko below 25 years. Mwanamke wa 30 years and above ni mzee.
Utapata Muombe Mungu ila usichague sna angalie alieye seriuos.Plan ni kuwa na watoto 4 mkuu😪
You spitted the right shit bro🤒Unasumbuliwa na mapokeo ya kijamii. Wanaotuzunguka wanatupangia kuo/kuolewa katika umri flani, kupata watoto, kazi nk...
Elewa kwamba ukienda tofauti na mapokeo ya kijamii hakuna baya litakalokukuta, ikiwa una sababu maalum.
Msongo wa mapokeo ya kijamii utakutesa kuliko hali unayopitia....
CPA ndo central police attender au 🤣😀Sina CPA bana, elimu ni form 4
Still u lie.Sina CPA bana, elimu ni form 4
Mkuu kwetu tuko 3 tu,Usikute wewe ni wa 6 kwenye familia ya mzee wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😄😄😄Uyo ni MuhasibuCPA ndo central police attender au 🤣😀
Plan ni kuwa na watoto 4 mkuu[emoji25]
Sasa mkuu we una chagua Kutokana na wadhifa au mwenendo was mtu ??😄😄😄Uyo ni Muhasibu
Watoto watakua na vichwa vichafu kama baba yaoHebu Njoo Tuanze Kupunguza Mdo Mdo[emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto watakua na vichwa vichafu kama baba yao
Dah 🙄😀Watoto watakua na vichwa vichafu kama baba yao
Yani ukimaliza kusoma hii comment yangu kaanze fanyia kazi hili swala,Upo kwenye dk za nyongeza mpira uishe.Plan ni kuwa na watoto 4 mkuu😪
Mi naona Kama mna chukulia kiwepesi tu.Yani ukimaliza kusoma hii comment yangu kaanze mtafuta mtoto
Broh umemaliza [emoji120]Speaking from personal experience..
When approaching 30s kweli pressure ilikua just sana. And I always had a vow kua nkifika 30 I'm gon have a family regardless of my financial status.
By 29, hakuna ramani ilikua inasoma. I told my girlfriend, darling, we need to have a baby,. Akashangaa. Nkamwambia, life ni tight, yes sina life poa sana but sasa hv ndo nina nguvu
Alikataa, baadae around 31 huko akakubali, kimbembe kikaja hakukua na mimba. Tried a whole year b4 bein succesful.
to be honest, with time you get used to it, but mtoto anakupa changamoto ya kupambana zaidi. Every day I wake up at 5 a.m and my little girl anakua macho pia, we have our moments n I leave kwenda kwenye harakati. Its a good feeling wouldn't trade it for nufn.
So financial services, don't sweat it. Cha muhim upate the right person, ul never feel like you are late, it will be a start to the best chapter of your life
Hii umeandika kwa uchungu sana.😥Huzuni ya mtu naona kwako ni tabasamu, but ndiyo maisha huwezi lazimisha kila mtu ahuzunike sababu wewe unahuzunika.
MImi ni mbongo pure mkuuMbeijing katika ubora wako.
Make hapo kwanza ncheke.😂😂Plan ni kuwa na watoto 4 mkuu😪