Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Pole na hongera at the same time

30's ni muda sahihi sana kuanza kuwa worried na somehow nafikiri ulitakiwa kuanza kuwa worried even after 27's.

I am a men, married and I think am fine for now ... but hata kwa mimi, kupata mke haikuwa rahisi na wala haikuwa kwa nguvu zangu, was just a fate and a blessing - mke wangu pia do say the same

All I can say, NDOA ni baraka kutoka kwa MUNGU (higher power) so all you can do ni ku self strategize, za kuambiwa changanya na zako as for anything: Married, with kids or not ... you will end up a victims (ndoa sio rahisi)

  • Pray, pray, pray (sizungumzii kwenda kanisani)
  • Love yourself
  • Treat good men with RESPECT
  • Kuwa mvumilivu
  • Be SMART

Kila la kheri
 
Ahsante sana mkuu👏
 
Wala usiwaze hakuna mtoto ataekuita Bibi maana Mama ni Mama, kuna sisi watoto tuliozaliwa mwisho mwisho malast born ( wazazi wetu walitupata tayari wako 30+ mpaka 40+ na tukakua kwa malezi mazuri tu, kwenye fimbo tulichezea na minyoosho kama kawaida hatukulelewa kudekezwa kibibi bibi) hivyo una nafasi nzuri tu, na kizuri siku ukijipata fyatua wako wa chap chap maisha yasonge

Usijishtukie jipongeze, ila kama hauna kwa sababu uliwahi kuchoropoa aisee hapo no comment kwa sasa
 
Nilitaka kukujibu, niakaona kuwa ni mtazamo binafsi.
 
Aliyekwambia ukifikisha miaka 30 bila familia ni dalili ya kuwa mwanamke Brilliant ni nani mkuu?


Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Nimejibu kutokana na comment niliyoiona kuwa mwanamke afiche "brilliance na excellence yake" Ili apate mwanaume.

Sijasema mtu akichelewa au kuwahi kupata mtoto ina uhusiano wowote na IQ au kiwango cha mafanikio atakachokifikia. Japo kiuhalisia, wengi wanaokutana na issue za kuchelewa kuzaa ni wale waliopitia chuo

Maana wengi humaliza kuanzia miaka 22+, kwa wanaobahatika, baada ya kumaliza tu wanapata ndoa na kuzaa ila kwa wengi, kupata hivyo vitu inaweza kuwakuta kuanzia 25+ ,

Kwa hiyo possibility ni kubwa, ila uswazini kwetu ambapo watoto wa kike wengi wanaacha shule darasa la saba, not even form four, binti akifika 22 tu, anaonekana kachelewa kuzaa na kuolewa maana option kubwa kwao ni kupata mume bora ili wasihangaike na life
 
Ngoja nijaribu nikwambie kitu kidogo rafiki yangu kalumbu.
Hatima ya mtu iko mikononi kwa Mungu Mimi nafikiri be patient na uendelee kupambana kumpata mtu sahihi sababu vyote vyote ni mipango ya Mungu na juhudi zetu binafsi.
Ata Mimi na turn third flow dis year [emoji1786] teh na wenge k*s*nge lakini mwaka Jana nilipamba nikapata karembo kangu na huu mwaka tena nataka nipambane nipate katoto kengine hila issue ya family no Kwanza nijipange financial [emoji23]
 
Acha hofu wewe, kila jambo lina wakati wake kwa kila mtu.

Relax, live your life Mrembo
 
Mbona 30's bado mdogo?

Ngoja ufike 40's walao ndio ulete uzi
 
kuna binti mmoja umri huo huo anacharaza kiingereza na ndio whattsap status zake hizo, huwa namuangalia namuhurumia tu.

Mabinti baadhi wakishaangalia Netflix series na kuangalia maisha ya nje, wanahisi ndio uhalisia

Naelewa hata kama ni career ladies, mwanaume yoyote atakaempata, kama ana upendo kweli na akaona zile hustles, lazma kutatafutwa solution hata kama ni housegirl lakini bahati mbaya, washakaririshwa kuwa mwanaume lazma afanye vitu flani ili wajihisi modern women kitu ambacho ni sumu mbaya sana

Na muda mwingine wale wanaowapandikiza haswa waswahili wenzao, wapo miserable

Ndio maana nikasema tu, kama kuna kikwazo kwa binti kufikia malengo ya familia kama kiburi na hizo imaginary standards bhasi aziache, ila kama imetokea automatically bhasi asiwe desperate maana akibugi step, itamgharimu maisha yake yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…