financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #541
Unamaanisha unajua kuzalisha watu nije na mimba yangu?Naomba nikuzalishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha unajua kuzalisha watu nije na mimba yangu?Naomba nikuzalishe
Mi Nime tuka pm zaidi ya 70, na financial services haja wahi ziona😀🤣🤣.Mambo Ni Mengi Acha Na Sisi Turushe Nanga Mtoto Mzuri financial services Anaweza Jipa Jimbo Tukajikongoja Pamoja Na Uzi Tufunge.
Ndo maana Wana kupiga 🙄🤣Unamaanisha unajua kuzalisha watu nije na mimba yangu?
Dah wala sichagui sana, ila kiukweli sivutii huenda ndiyo sababu wanakimbiaUmeingia 25,26,27,28,29,30 upo tu hujaapta mwanaume anaekufaa au ndo kuchagua sana
True trueKwa mwanamke inashtusha kwakweli tusiongopeane hapa eti kufarijiana
Pole na hongera at the same timeHabari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Mi Nime tuka pm zaidi ya 70, na financial services haja wahi ziona[emoji3][emoji1787][emoji1787].
[emoji117]Gud luck pappi
Anza kufurahi kwanza nitakuja kusema baadae😁😁😁😁 wala sio umbea sis ni wanafamila ndio useme ili tufurahi wote🤣🤣
Dah wala sichagui sana, ila kiukweli sivutii huenda ndiyo sababu wanakimbia
Ahsante sana mkuu👏Pole na hongera at the same time
30's ni muda sahihi sana kuanza kuwa worried na somehow nafikiri ulitakiwa kuanza kuwa worried even after 27's.
I am a men, married and I think am fine but hata kwa mimi, kupata mke haikuwa rahisi na wala haikuwa kwa nguvu zangu, was just a fate and blessing - mke wangu pia say the same
All I can say, NDOA ni baraka kutoka kwa MUNGU (Higher power) so all you can do ni ku self strategize, za kuambiwa changanya as for anything married with kids or not you will end up a victims (Ndoa sio rahisi)
- Pray, pray, pray
- Love yourself
- Treat good men with RESPECT
- Kuwa mvumivu
- Be SMART
Kila la kheri
Wala usiwaze hakuna mtoto ataekuita Bibi maana Mama ni Mama, kuna sisi watoto tuliozaliwa mwisho mwisho malast born ( wazazi wetu walitupata tayari wako 30+ mpaka 40+ na tukakua kwa malezi mazuri tu, kwenye fimbo tulichezea na minyoosho kama kawaida hatukulelewa kudekezwa kibibi bibi) hivyo una nafasi nzuri tu, na kizuri siku ukijipata fyatua wako wa chap chap maisha yasongeHabari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Nilitaka kukujibu, niakaona kuwa ni mtazamo binafsi.Unamdanganya mwenzio kwa kumpa tu moyo. Please please. 30 is not just a number, it is a limitation in a lot of bodly and mindset perspectives. Please tuambiane ukwel 30 now na huna mtoto wala family hii sio salama hata kidogo labda kama huna mpango wa kuwa navyo otherwise it is a red flag.
Labda kwa mwanaume lakin kwa mwanamke huu ulikua umri wa either kumaliza uzazi kam sio umeshamaliza kabisaa na una concerntrate kwenye malezi na ku secure your own future and prosperity for kids na family.
30s for ladies, is not a joke. Is disaster.
.
NB
Neno langu sio sheria l. Ni mtazamo tu unatokana na experience
😊😊😊Anza kufurahi kwanza nitakuja kusema baadae😁😁
Nimejibu kutokana na comment niliyoiona kuwa mwanamke afiche "brilliance na excellence yake" Ili apate mwanaume.Aliyekwambia ukifikisha miaka 30 bila familia ni dalili ya kuwa mwanamke Brilliant ni nani mkuu?
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Acha hofu wewe, kila jambo lina wakati wake kwa kila mtu.Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Mbona 30's bado mdogo?Habari ya weekend great thinkers?

kuna binti mmoja umri huo huo anacharaza kiingereza na ndio whattsap status zake hizo, huwa namuangalia namuhurumia tu.Niliulizwa hivi, ukinioa utakua unanisaidia baadhi ya kazi kama tukitoka kazini, nikamuuliza kama kazi zipi akasema kupika, nikamwambia hizo kwetu nikazi za kike Mimi siwezi kuingia jikoni eti nikupikie ww unaangalia tv eti kisa nakusaidia. Haka katoto kakaniambia hivi eti basi wewe sio type ya mwanamme naemtaka. Nikamwambia ok sawa hii furusa nayokupa kunawanawake kibao wanaitaka, sasa tulia katafute hao unaowataka ambao utaona mta match, baada ya masaa mawili kakanitumia msg sorry baby kama nimekuudhi nisamehe.
Nikamwambia yashaisha hayo we katafute perfect match, kakaomba msamaha yakawa yameisha. Nilichomuuambia baadae nikua ukizaa mtoto wakiume, akaoa ukaenda kumtembelea kwake ukakuta anamsaidia mkewe kumpikia halafu mke wake anaangalia TV utajisikiaje?. Then nikamwambia utakavyojisikia ndivyo mama yangu atajisikia , so kwetu sijaelewa hivyo majukumu ya mwanaume yanafahamika na yamwanamke yanafahamika, Kila mmoja atimize wajibu wake. Otherwise usidhani ntakuja kukusaidia kufanya kazi za kike. Kakawa kapolee, Sasa ndio hapo umesema wengi wanatafuta perfect match.
Hivi mm na umri wangu wa miaka 32 nisaidie Binti wa miaka 23 kupika, kuosha vyombo huku anaangalia TV?. Kama anaumwa ile siriously I can try.
Vyooote vinavyoandikwa hum na kujibiwa ni mitazamo binafsi . We nipe tu za uso hizo usiogopeNilitaka kukujibu, niakaona kuwa ni mtazamo binafsi.
HahahahahaEndelea kukibanabana ili tuje kukupa cheo cha utawa