Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Hivi kwanini Mwanamke akifika miaka 25+ kama hana Mtoto wala Mume anachanganyikiwa alafu Mwanaume anaweza kua na 32+ hana Mtoto wala Mke alafu fresh tu hata hapagawi???
Mwanaume timamu akifika 30 tu bila mtoto akili inamcheza labda useme kupagawa kunatofautiana mwanamke anapagawa sana ila hakuna binadamu ambae akili haimchezi
 
Jicheki kwa kioo, unajionaje

Rudi kwa ex chap, wanaume ni baba huruma mno wala hujachelewa kama utaamua kufanya maamzi ya haraka
 
Congratulations brother.... You really have a calling in BROKEN English
 
Sasa si unyooshe maelezo mshirika?
 
Umetema madini matupu... kwa mfano mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 ndo nataka nioe kigoli wa miaka 22.
 
Kwa vile umesema upo tayari kwa comment za aina zote naomba kutoa maoni yangu kwako financial services , umri ni namba tu.
Maisha kwa ujumla wake yamekaa kibinafsi zaidi na si yule ana taka mimi niwe wa namna gani.
Maisha yanakuwa maisha palipo na amani na furaha, hivyo vyote vinakuja si kwa wepesi bali kuna mchakato wa kuvipata.

Maisha ya familia ni sehemu ya maisha ya furaha, vile inamuona mtoto wako anavyokuwa kuna furaha ya namna yake unaipata .

Ila kuwana mtoto au familia kwa mwanamke sio kitu anachoweza kuamua iwe mwaka huu au mwaka kesho kwa vile nature inamtambua mwanaume kama mtendaji katika hilo na sio mwanamke.

Sioni kulaumiwa kwa mwanamke yoyote kama hajawa na familia kwa muda wanaotaka watu wanaokuzunguka.

Kwa hiyo usiwe na aina yoyote ya wasiwasi kwa hilo wala usitie matarajio ya haraka kwa hilo kwani inaweza kukusabishia ukosefu wa furaha wakati wote na kuondoa ile dhana ya maisha ambayo ni furaha.
 
Acha umalaya.

Unatiwa kila siku ila hutaki kupata mimba, au ukipata mimba unazitoa.

Dawa yako ipo jikoni, utakapoanza angaika kwa manabii na waganga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…