Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Yeah exactly mkuu wewe ndio umenielewa nini namaanisha, wanaume wangekuwa wanaoa wanawake wenye tabia njema kama wanavyojinadi humu basi tusingekuwa tunasikia malalamiko yao dhidi ya wake zao, lakini hata wewe unajionea hali halisi ya ndoa za siku hizi tena wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalamika halafu mtu humu anakuja kutudanganya eti wenye tabia njema tu ndio wanaoolewa cc mkushite
 
Katika ubora wako.
 
Yani wanaume wa humu kila uchwao nampenda Financial service kumbe mko tuu nyuma ya keyboard hamumfati dada wa watu mumu wowe?
Ila ki ukweli ni lazima uchanganyikiwe hasa kwa mwanamke wala msimumunye maneno..kuanzia 25 yrs unatakiwa uwe tayari au kuwaza kuwa na watoto as a woman...otherwise ikishindikana muombe Mungu...
 
Mhh 😁
 
DahπŸ˜‚πŸ˜†, ume ongea kwa uchungu.
,πŸ‘‰ Ila shida financial services hajibu pm, Nime mtumia jumbe zaidi ya 5πŸ€’
 
Sema ndoa kwa Sasa ni taasisi inayo yumba mno.
Zama za 60,80 zilikuwa tofauti.

Hizi sabturi za 90, 2000, Hadi 2003 Kuna shida mno.
πŸ‘‰Sio men's au women's wote majanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…