Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Yani misogynism is real mkuu, wanaume wengi wamekuwa toxic and bitter against women kwa sababu za kipumbavu tu, utadhani wao wako perfect and innocent kumbe nao ni waovu wakubwa tuDah Eti wabeijing[emoji38][emoji23], sema misogynism sio kitu nzuri