Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Mi nadhani hiki kitu hakieleweki, maana kama wote walio olewa wana Tabia njema.
Tusinge ona Wanawake waki chepuka nje ya ndoa.

Lakini pia Kuna baadhi Hawaja olewa, Kutokana na tofauti tofauti.
[emoji117]Aidha wakati huja fika, au ni uchaguzi wao wa kipuuzi.
[emoji117]Kupotezewa muda na wanaume
Yeah exactly mkuu wewe ndio umenielewa nini namaanisha, wanaume wangekuwa wanaoa wanawake wenye tabia njema kama wanavyojinadi humu basi tusingekuwa tunasikia malalamiko yao dhidi ya wake zao, lakini hata wewe unajionea hali halisi ya ndoa za siku hizi tena wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalamika halafu mtu humu anakuja kutudanganya eti wenye tabia njema tu ndio wanaoolewa cc mkushite
 
Tunatofautiana wewe kama unaona ni sawa hizi nyuzi zinazoanzishwa kila siku za kudhalilisha wanawake wote mimi sioni hivyo, yani wanaume wakitukana wanawake it's okay ila wanawake tukijitetea ni kosa mara tuitwe feminists mara wabeijing mara vifaa, you can call us whatever you want but misogynism is one thing some of us can't tolerate in here
Katika ubora wako.
 
Yani wanaume wa humu kila uchwao nampenda Financial service kumbe mko tuu nyuma ya keyboard hamumfati dada wa watu mumu wowe?
Ila ki ukweli ni lazima uchanganyikiwe hasa kwa mwanamke wala msimumunye maneno..kuanzia 25 yrs unatakiwa uwe tayari au kuwaza kuwa na watoto as a woman...otherwise ikishindikana muombe Mungu...
 
Mhh 😁
 
Dah😂😆, ume ongea kwa uchungu.
,👉 Ila shida financial services hajibu pm, Nime mtumia jumbe zaidi ya 5🤒
 
Haha kwahiyo 25+ tunatakiwa tuanze kuchanganyikiwa?
Tangazo kwa ufupi😆😂
FB_IMG_17078947202039382.jpg
 
Yeah exactly mkuu wewe ndio umenielewa nini namaanisha, wanaume wangekuwa wanaoa wanawake wenye tabia njema kama wanavyojinadi humu basi tusingekuwa tunasikia malalamiko yao dhidi ya wake zao, lakini hata wewe unajionea hali halisi ya ndoa za siku hizi tena wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalamika halafu mtu humu anakuja kutudanganya eti wenye tabia njema tu ndio wanaoolewa cc mkushite
Sema ndoa kwa Sasa ni taasisi inayo yumba mno.
Zama za 60,80 zilikuwa tofauti.

Hizi sabturi za 90, 2000, Hadi 2003 Kuna shida mno.
👉Sio men's au women's wote majanga tu
 
Back
Top Bottom