Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

We jua tu kuwa to each her own and to each his own. Kila m'moja atapata wa kufanana nae. Wewe kwa hizi kauli zako inaonyesha wazi umezungukwa na role models wenye past relationships trauma na toxic mindset kwenye ndoa.

Ni ngumu kwa church girl kuwa around company ya hood rats sababu hawaendani kimaadili.

Wanawake wenye discipline wapo, so am sorry to bust your bubble.
 
Mmmmmmhmn miaka hii ni ngumu sana mwanamke kuishi nae kama kipato ni cha wasi wasi sishauri kuishi na mwanamke kama mambo yako hayapo sawa.
 
Mmmmmmhmn bro mbona umekaza statement hivi au unataka kupiga kijanja?
 
Haya sio maoni mazuri. Nyie ndio mnawaponza wanawake wanaingia kwenye mfumo wa hovyo wa maisha halafu wakiwa wanalalamika wanasema wanaume ndio wametushauri kumbe sio wanaume wanaojitambua.
We umeona wapi au kwa mafundisho ya kitamu au mila za wapi familia ikaanza na mama na mtoto, wewe umefundishwa na nani huo uhuni?

Hebu msiwe mnatoa maoni yenu binafsi katika kujibia hoja za msingi.
 
Ndio maana watu wanalala na kuwaacha unaendelea kuwa cha wote hadi uzee unakuvaa.
 
Hayo ya burudani kwa wote ni mawazo mliyoyatengeneza vichwani mwenu tu, kwani unaweza kunijibu mwanamke akiwa na mwanaume mmoja anafaidika nini, na akiwa na zaidi anapungukiwa nini physically
Dah aisee we mtu sijui umelelewa na kukuzwa na nani ila unasikitisha sana MUNGU akusaidie hii akili chafu isiwe serious uwe tu unaongea hapa kufurahisha jukwaa.
 
Mkuu kwanza kabisa futa hiyo kauli kuwa wanaume wanalalamika kwa sababu ya kuwahurumia wanawake futa kabisa, HAKUNA mwanaume anayefanya jambo kwenye mahusiano kwa maslahi ya mwanamke narudia HAYUPO acheni kuwadanganya wanawake kwenye hili, ukiona mwanaume analalamikia jambo kwenye mahusiano ujue linamuumiza yeye ila ni vile tu huwa mnatumia kitu kinaitwa self serving reverse psychology trick ili ionekane kama vile mnawasaidia wanawake ili wafanye mnachotaka

Tuanze kwanza na hili kama mngekuwa mnawahurumia wanawake basi mngekuwa mmeshaacha kuwatongoza kwa lengo la kuwachezea lakini kwa bahati mbaya mkiambiwa hivi mnakimbilia kusema, "oo mwanaume hawezi kujizuia mwanamke akitongozwa ndiye anatakiwa akatae sababu yeye ndiye anayeumia zaidi" kitendo cha kutoa hiyo kauli maana yake hamna huruma kwa wanawake, kwa sababu kama ninyi mmeshindwa kujizuia mnategemea mwanamke aweze vipi kwani yeye ameumbwa na kitu gani special cha kumfanya ajizuie na majaribu na vishawishi kwani naye si binadamu

Tukija kwenye suala la ndoa waliosusa ndoa ni wanaume na siyo wanawake maana vinara wa campaign ya kataa ndoa ni wanaume na lengo la wao kufanya hivyo siyo kwamba hawataki ndoa kweli, ila wanataka eti kuwakomoa wanawake ili wajirudi wawe wife materials ndio waolewe sababu wanajua wanawake wako desperate na ndoa hivyo wako tayari kufanya chochote ili waolewe sasa mimi ndio nawaambia kwamba hao walikuwa ni wanawake wa zamani, hawa wa siku hizi mkiwasusia ndoa hawahangaiki bali nao wanatafuta namna ya kuwa na furaha bila ndoa na kama ni pesa siku hizi mbona wanawake wengi tu wanajitafutia pesa wanachangamkia fursa kwenye kazi na biashara au unaishi sayari gani mkuu

Kama ni upweke na matatizo ya akili haviwapati wanawake tu tena wanaume wakikosa wanawake ndio wanakuwa wapweke kuliko wanawake wakikosa wanaume na tukiangalia uhalisia wanaume ndio wanaihitaji sana ndoa kuliko wanawake, ila hawataki kuadmit kama nilivyosema wanatumia self serving reverse psychology trick ili kufanya ndoa ionekane ni muhimu kwa wanawake tu, ila ukiuliza huo umuhimu ni upi hasa ambao kwa mwanaume haupo hakuna jibu la maana utapewa lakini tukija kwenye uhalisia kisaikolojia wanaume ndio wanaihitaji sana ndoa kuliko wanawake

Ni kwa sababu wanaume huwa mnaitafuta furaha kwa wanawake na siyo kwa watu wengine au kwenye vitu vingine tofauti na wanawake ambao wao wanaweza kupata furaha toka kwa watu wengine kama watoto na vitu vingine kama pesa, ndio maana kwenye ndoa mke akizingua tu kidogo mwanaume anavurugwa akili na ni ngumu kumvumilia na kusamehe badala yake atatafuta furaha kwa mchepuko ambaye naye pia ni mwanamke, wakati mwanaume akizingua ni rahisi mwanamke kumvumilia na kusamehe na atatafuta furaha kwa watoto wake na watu wengine wa karibu au kazi au biashara yake

Wewe hujawahi kusikia huu msemo kwamba mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kuwa na wanawake wengi ila mwanamke anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kujiweka mbali na wanaume, mkuu kwenye mahusiano au ndoa wanaume ndio mnapenda kupetiwa kubembelezwa na kauli kama "pole na uchovu mpenzi" sijui "karibu chakula mume wangu" na huwa mnategemea kuzipata toka kwa wanawake tu, na kuna wanaume seriously kabisa wanachepuka kisa tu hawapati romantic gestures kama hizo toka kwa wake zao wakati wanawake mara nyingi huwa hawajali kuhusu hizo gestures

Sasa unaposema kwamba utazalisha mwanamke halafu utamuacha awe single mother kisha utaoa binti mbichi una uhakika gani huyo binti ndio atakuwa decent na hatakusaliti unataka kuniambia wanaume wote wazee waliooa vibinti wanafurahia ndoa zao kuliko waliooa single mothers, na kama mnajua kuwa wanawake decent wapo sasa mbona malalamiko ni mengi kwamba siku hizi wanawake wameharibika si muwaoe hao hao wanawake mnaowaona decent ujue mkuu ifike mahali wanaume muache kuishi kwenye fantasies mje kwenye reality, mkubaliane na ukweli kwamba wanawake hawatarudi tena enzi za bibi zetu na huko tunakoelekea hali ndio itakuwa mbaya zaidi acheni kujifariji it is either ninyi ndio mkubali kucompromise au muendelee kulalamika hadi mwisho wa dahari
 
Ndio maana watu wanalala na kuwaacha unaendelea kuwa cha wote hadi uzee unakuvaa.
Dah aisee we mtu sijui umelelewa na kukuzwa na nani ila unasikitisha sana MUNGU akusaidie hii akili chafu isiwe serious uwe tu unaongea hapa kufurahisha jukwaa.
Si kila ninachojadili humu basi maana yake mimi nakifanya au kimenitokea mimi naandika hali halisi iliyopo kwenye jamii sitoi maoni yangu binafsi kama ninyi, mimi naongelea reality siongelei fantasies sawa jamii imeharibika so what anayelalamika ni nani ni mwanaume au mwanamke, kama wanawake ndio wanaoumia zaidi kwanini wengi wameacha kulalamika badala yake wanaume ndio mmepokea microphone na ninyi sasa ndio mmeanza kuchana mistari ya malalamiko so what next then..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…