Mimi namshangaa, yeye aliona wapi jf hii mwanaume akapoteza muda wake kudefend wanawake kama hivyo, wanaume wa humu wengi ni misogynists na hata wale ambao siyo bado hawawezi kuhangaika kudefend wanawake kiasi hikiSi useme tu kuwa umeshindwa hoja Mkuu.
Jadda ni rafiki yangu na ni binti mrembo sana.
Wewe una ushahidi gani?
Kushindwa Hoja ndiko kumekupelekea umvalishe jinsia ya kiume?
Wewe pambana
Acha kulia na jinsia,
Huyo ni dada.
Wacha kujipendekeza mkuu Mimi Sina battle nae angalia comments zangu isijekuwa wewe Na jadda Ni mtu mmoja unajitekenya Na kucheka mwenyeweSi useme tu kuwa umeshindwa hoja Mkuu.
Jadda ni rafiki yangu na ni binti mrembo sana.
Wewe una ushahidi gani?
Kushindwa Hoja ndiko kumekupelekea umvalishe jinsia ya kiume?
Wewe pambana
Acha kulia na jinsia,
Huyo ni dada.
Tatizo wameaminishwa kwamba all men are intellectually superior over all women yani kwao hakuna exception katika hilo, wengi wanaamini ukizaliwa mwanaume automatically wewe ni genius na ukizaliwa mwanamke automatically wewe ni kilaza, yani hata kama mwanaume ni kibaka wa mitaani tu yeye ana akili kuliko mwanamke ambaye ni boss wa kampuni fulaniShida una Wapiga spana Sana, Hadi Wana hisi labda ni mwenzao so una was provoke
Madam mi naamini maisha Yana mshape mtu kutokana na mazingira au hali ya kuji funza tu.Tatizo wameaminishwa kwamba all men are intellectually superior over all women yani kwao hakuna exception katika hilo, ukizaliwa mwanaume automatically wewe ni genius na ukizaliwa mwanamke automatically wewe ni kilaza, yani hata kama mwanaume ni kibaka hapo mtaani kwenu yeye ana akili kuliko mwanamke ambaye ni boss wa kampuni fulani
Niamini mkuu 😆😆Hahahahaha..siamini ingawa najua hutanii Mkuu
Usipanick bado hujachelewaaHabari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Ni kweli mkuu ila kuna muda tu unafikiria unless upo kwenye 20s huko bado mdogo, ila ukiwa 3rd floor lazima ufikirie kuhusu hiloSija jua wenzagu mna yaonaje maisha.
Ila kwangu inakuwa tofauti Sana, sijipi hizi normal stress za why Sina mtoto au kuoa mapema.
SISI ngozi nyeusi tuna kuwa stressed Sana na vitu vidogo mno.
Ila big life questions tuna yaacha wazi!!.
Kwanini tuko hapa, tuna sababu gani ya kuwa hapa, na je tuna tokaje hapa??
I got a feeling life is exciting in the future, je sisi weusi tume jipangaje??
Tupikie msosi, tuje tule🤒Replies 1000 aisee , naendelea kuzipitia na kupata mafunzo, nawashukuruni wote kwa muda wenu
Hahahahaha...sawaNiamini mkuu 😆😆
Madam we third floor hujafika, ila una uliza for experience only.Ni kweli mkuu ila kuna muda tu unafikiria unless upo kwenye 20s huko bado mdogo, ila ukiwa 3rd floor lazima ufikirie kuhusu hilo
They need us moreHivi kwanini Mwanamke akifika miaka 25+ kama hana Mtoto wala Mume anachanganyikiwa alafu Mwanaume anaweza kua na 32+ hana Mtoto wala Mke alafu fresh tu hata hapagawi???
Ndio maana nasema hakuna swali ambalo sijajibu.Mkuu suala siyo kujibu tu suala ni kujibu majibu ya ukweli kwa sababu kujibu mtu yeyote anaweza akajibu tu kitu chochote hata kama ni cha uongo halafu naye akakuambia amejibu, nimekuuliza hayo madhara uliyonitajia yanamuathiri vipi mwanamke moja kwa moja unasema eti mwanamke kuwa na wanaume wengi ni habari nikakuuliza ni habari kwa nani mbona kwa wazungu siyo habari, pia msingi wa hoja ulikuwa kwamba mwanamke akiwa na wanaume wengi haolewi sasa kwa kuwa na wewe umeingilia mada nikakuuliza una uhakika wanawake wote wanaoolewa ni wale wenye mwanaume mmoja tu au ulivamia mada bila kuelewa hoja iliyoko mezani
Ndiyo nakalia mgongo ukishirikiana na mifupa ya miguuKwahio unakalia mgongo?
Ahsante mkuu kwa farajaUsipanick bado hujachelewaa
Pumzi imeshakataMimi namshangaa, yeye aliona wapi jf hii mwanaume akapoteza muda wake kudefend wanawake kama hivyo, wanaume wa humu wengi ni misogynists na hata wale ambao siyo bado hawawezi kuhangaika kudefend wanawake kiasi hiki
Kwahiyo unataka upotoshe huku tunakuangalia tu!Wacha kujipendekeza mkuu Mimi Sina battle nae angalia comments zangu isijekuwa wewe Na jadda Ni mtu mmoja unajitekenya Na kucheka mwenyewe
Naaam,Replies 1000 aisee , naendelea kuzipitia na kupata mafunzo, nawashukuruni wote kwa muda wenu
Ahsante mjukuu wanguNaaam,
Mimi nipo nawewe pamoja paka mwisho