Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Mkuu sina ushahidi wa kukupa ila kama umefika walau nchi moja wapo, kati ya mabara ya Amerika ya Kaskazini au Ulaya Magharibi na kuyaona maisha ya kule, basi utakubaliana na mimi kwamba kwa wazungu hilo jambo siyo habari

Kule mwanamke hata akiwa ni Stripper au hata akifika miaka 50 anaolewa, haijalishi ana watoto au hana na hakuna anayeona ajabu ni kitu cha kawaida tu sasa kwa akili ya kawaida tu, unahisi mwanamke anayefanya kazi hiyo au mwenye umri huo katembea na wanaume kiasi gani

Mimi nimekuuliza swali je una uhakika hata hapa bongo tu (ukiachilia mbali huko nje), kwamba wanawake wote wanaoolewa ni wale wenye mwanaume mmoja tu, hili swali mbona unakwepa kulijibu kwa sababu hili ndio lilikuwa msingi wa mada
 
@Intelligent businessman fact
 
Huwa nawaza hivi haya maisha tunayo ishi, what if Kuna reason nyingine kubwa !!.

Kwasababu Hatuwezi kuzaliana tu, getting children, Afu death.
So hatuna maajabu ?!
@Intelligent businessman mkuu kwa heshima yako natamani unitajie au kunifundisha other life purposes nje ya kuzaliwa ,kuzaliana kupambana kusurvive kisha kufa.
 
Yes, dhumuni la kuwepo Duniani ndio priority ya kwanza kwa sisi waislam ni kufanya ibada yes hilo ndio inabidi litupe stress upo sawa.

Lakini hilo suala ni intangible ziadi yaani ibada ni just kwenda msikitini kuswali, kufunga swaumu, kutoa zaka na sadaka, kufanya mema nk most of them ni vitu soft hata sasa hapo ulipo unaweza amua ukafanya hakuna kizuizi deadline, wala effort kuubwa fulani.

Kuoa na kupata mtoto, talking kupata mtoto pekee ni kitu TANGIBLE yaani ni kitu fulani very complex kina Timelines, kina misingi, umri ndio timeliness, even deadline, kinahusisha uchumi, mahusiano na vitu vingi...sio kitu unaweza amua hapo ngoja sasa nikapata mtoto ukaenda kupata inabidi uwe na route ndefu sana sio kitu easy in various factors.

Kufikisha zaidi ya miaka 30 na huna mtoto wengi wa sisi si plan zetu bali various factors ndio zimesababisha including ugumu wa maisha, ugumu wa kimahusiano nk...katika umri huu uliwa huna mtoto, huna uchumi bado broke, huna mpenzi wa maana yaani vyote vitatu kama upo timamu kiakili lazima uwaze simaanishi unageuka chizi I mean lazima ubongo utengeneze folder la iyo ishu mzee, kupata mtoto ukiwa na miaka 40 mango mbaya sana YOUR FAILED so tukiwa 20's Timeline ndefu inatupa punzi ila kwenye 30's Timeline imepungua kabisa mzee ukiona mtu hana mtoto na huwazi iko kitu kwenye stage hii kuna tatizo kwenye ubongo wake.
 
@Intelligent businessman mkuu kwa heshima yako natamani unitajie au kunifundisha other life purposes nje ya kuzaliwa ,kuzaliana kupambana kusurvive kisha kufa.
Wewe dini gani au huamini kwenye dini??

Mimi muislam, purpose ya maisha ya Dunaini ni kufanya ibada basi si kingine, kuzaliana ni extra things ila pia zinagusa ibada maana ibada si kuswali tu bali hata huyo mtoto uliyemzaa ukimfunza mema ni ibada.

So purpose ni ibada.
 
Mkuu kwa hoja zako hizo, naomba nimwite bro Kiranga na mshamba_hachekwi wakupe majibu🙏🙏.
 
Yaani sir GOD, created us ili tufanye ibada tu??
👉Mpaka hapa ina maanisha tusha enda kinyume nae kitambo.

Maana tuna fanya biashara, tunaenda shuleni kusoma.
👉Au Nazo ni ibada???
Wake up bro
 
Yaani sir GOD, created us ili tufanye ibada tu??
👉Mpaka hapa ina maanisha tusha enda kinyume nae kitambo.

Maana tuna fanya biashara, tunaenda shuleni kusoma.
👉Au Nazo ni ibada???
Wake up bro
Mkuu mbona unanilisha maneno, hakuna niliposema "kufanya ibada tu"

Pia soma hoja yangu vizuri sana nimezingatia details sana, ukisoma vizuri unaona nimeandika Ibada si kwenda kusali tu bali katika jumla ya vitu vyote tunavyofanya kuna ibada mfano kwenye Biashara ukimhudumia mtu kwa unmindful ibada tiali unalipwa, mimi leo Boss kaniagiza nikachukue pesa 100K nimempaka kwa unmindful ibada tiali.

Tupo Dunaini kufanya ibada, tumewekewa system ya maisha ya kuishi kwenye hio system kuna njia elefu za kufanya ibada hata hapa navyaondika na kukumbusha hili "Hii kwenye uislam tunaita UKUMBUSHO" ni ibada tiali yaani mimi kukwambia kitu hiki mimi tiali nimefanya ibada na nahesabiwa.

Kama unaswali uliza
 
Mkuu kwa hoja zako hizo, naomba nimwite bro Kiranga na mshamba_hachekwi wakupe majibu🙏🙏.
Hapa Kiranga hausiki ukimwita mada inakuwa nyengine kabisa, ndio maana unaona pale juu before kuandika hoja yangu nimemuuliza jamaa "Unaamini kwenye Dini" inamaana kama haamini means purpose anaijua yeye yake kama anaamini nimemkumbusha Purpose, so kiranga akija yeye haamini kwenye Dini Purpose yake anaijua yeye mimi siijui na hainihusu.
 
Hii system ali iweka Nani??, Na Ina itwaje???
👉So unaona ibada ndo msingi was kila kitu!

Wewe SI muislam, means une rithi dini hiyo!?
👉Ungezaliwa katika ukristo, ungekuwa mkristu ( am I right)
Vivyo hivyo kwa ma budha, wahindu na hata wapagani

Sasa unaweza vipi ku declare huo mfumo unao uita ibada, ndo our only life purpose on Earth!?
Sea Beast
 
Huwa napenda tujadiliane watu wa misingi tofauti, Kutokana na kwamba tupate mtiZamo was kila mtu
 
Wapo wanawake wengi wameolewa na kupata watoto at 30S na ni kawaida kwa dunia ya sasa. Hivyo usihofu saana.
Cha msingi pata mtu sahihi kwako, muombe Mungu pia akusaidie upate mtu sahihi. Halaf kwa dunia ya sasa watu wengi wakizaa watoto wengi mwisho wawili hivyo kuanzisha famili kwenye 30s sio issue.
 
Hii ni kwel kbs.. sku Hz kupata spouce ni Ngum kwakel hakuna trust na watu weng ni fake, unakuta pisi Kali kabs, ila kichwan SS! Utandawaz na foreign culture zimeharb vijan weng.
 
Hii system ali iweka Nani??, Na Ina itwaje???
👉So unaona ibada ndo msingi was kila kitu!
System ndio hayo maisha, basic sisi tufanye ibada akatuwekea maisha ambayo yanachangamoto na akatuwekea udhaifu kama njaa na u jobless
Wewe SI muislam, means une rithi dini hiyo!?
👉Ungezaliwa katika ukristo, ungekuwa mkristu ( am I right)
Vivyo hivyo kwa ma budha, wahindu na hata wapagani
Swali Zuri, nilishawahi kumwambia mtu watu tunakuwa kwenye dini fulani kwasababu tumezalowa kwenye imani hio ila kimsingi ukishota kwenye utoto ukiwa na akili inabidi ufanye tathmini ipi imani ya kweli Duniani, angalia imani zoote na misingi yake.

Mimi nimefanya hiki nikiringanisha na Dini zote dini nayoiamini nimeona ina misingi inayo make sense sana, mean hata nongezaliwa fsmilia ya dini nyengine ningekuwa Muslim.
Sasa unaweza vipi ku declare huo mfumo unao uita ibada, ndo our only life purpose on Earth!?
Sea Beast
Mungu kasema "Mungu kasema nimewaumba hili muniabudu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…