Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Haha kwa kweli halafu jamaa kapotea sanaPumzi imeshakata
Hizi debate waliziweza akina Lizarazu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kwa kweli halafu jamaa kapotea sanaPumzi imeshakata
Hizi debate waliziweza akina Lizarazu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sina ushahidi wa kukupa ila kama umefika walau nchi moja wapo, kati ya mabara ya Amerika ya Kaskazini au Ulaya Magharibi na kuyaona maisha ya kule, basi utakubaliana na mimi kwamba kwa wazungu hilo jambo siyo habariNdio maana nasema hakuna swali ambalo sijajibu.
Nimekuonyesha ya kuwa hata kwa wazungu ni habari. Sasa nakupa kazi wewe ambayo hujaifanya mpaka muda huu ya kuwa embu tuonyeshe ya kuwa siyo habari hata kwa wazungu, na utupe ushahidi juu ya hicho unachokidai.
Sijui kapotelea wapi masikiniHaha kwa kweli halafu jamaa kapotea sana
Thank you dearAisee,pole....Mungu akupe familia
Msome na Iron Butterfly na Jaji Mfawidhi. Hao ni Ke lakini unaweza usiione ktk maandishi. Cha mwisho ni kuwauliza wenyeweSio Kweli mkuu huo muandiko wake Ni ushahidi tosha, Hakuna mwanamke anaeweza kuandika hivyo abadani hata kama hajazaliwa Wala kushushwa kutoka mbinguni, huyo Ni mwanamme
@Intelligent businessman factSija jua wenzagu mna yaonaje maisha.
Ila kwangu inakuwa tofauti Sana, sijipi hizi normal stress za why Sina mtoto au kuoa mapema.
SISI ngozi nyeusi tuna kuwa stressed Sana na vitu vidogo mno.
Ila big life questions tuna yaacha wazi!!.
Kwanini tuko hapa, tuna sababu gani ya kuwa hapa, na je tuna tokaje hapa??
I got a feeling life is exciting in the future, je sisi weusi tume jipangaje??
Huwa nawaza hivi haya maisha tunayo ishi, what if Kuna reason nyingine kubwa !!.@Intelligent businessman fact
@Intelligent businessman mkuu kwa heshima yako natamani unitajie au kunifundisha other life purposes nje ya kuzaliwa ,kuzaliana kupambana kusurvive kisha kufa.Huwa nawaza hivi haya maisha tunayo ishi, what if Kuna reason nyingine kubwa !!.
Kwasababu Hatuwezi kuzaliana tu, getting children, Afu death.
So hatuna maajabu ?!
Yes, dhumuni la kuwepo Duniani ndio priority ya kwanza kwa sisi waislam ni kufanya ibada yes hilo ndio inabidi litupe stress upo sawa.Sija jua wenzagu mna yaonaje maisha.
Ila kwangu inakuwa tofauti Sana, sijipi hizi normal stress za why Sina mtoto au kuoa mapema.
SISI ngozi nyeusi tuna kuwa stressed Sana na vitu vidogo mno.
Ila big life questions tuna yaacha wazi!!.
Kwanini tuko hapa, tuna sababu gani ya kuwa hapa, na je tuna tokaje hapa??
I got a feeling life is exciting in the future, je sisi weusi tume jipangaje??
Wewe dini gani au huamini kwenye dini??@Intelligent businessman mkuu kwa heshima yako natamani unitajie au kunifundisha other life purposes nje ya kuzaliwa ,kuzaliana kupambana kusurvive kisha kufa.
next time brother, now kichwa kina loop holes nyingi 🤒@Intelligent businessman mkuu kwa heshima yako natamani unitajie au kunifundisha other life purposes nje ya kuzaliwa ,kuzaliana kupambana kusurvive kisha kufa.
Mkuu kwa hoja zako hizo, naomba nimwite bro Kiranga na mshamba_hachekwi wakupe majibu🙏🙏.Wewe dini gani au huamini kwenye dini??
Mimi muislam, purpose ya maisha ya Dunaini ni kufanya ibada basi si kingine, kuzaliana ni extra things ila pia zinagusa ibada maana ibada si kuswali tu bali hata huyo mtoto uliyemzaa ukimfunza mema ni ibada.
So purpose ni ibada.
Yaani sir GOD, created us ili tufanye ibada tu??Wewe dini gani au huamini kwenye dini??
Mimi muislam, purpose ya maisha ya Dunaini ni kufanya ibada basi si kingine, kuzaliana ni extra things ila pia zinagusa ibada maana ibada si kuswali tu bali hata huyo mtoto uliyemzaa ukimfunza mema ni ibada.
So purpose ni ibada.
Mkuu mbona unanilisha maneno, hakuna niliposema "kufanya ibada tu"Yaani sir GOD, created us ili tufanye ibada tu??
👉Mpaka hapa ina maanisha tusha enda kinyume nae kitambo.
Maana tuna fanya biashara, tunaenda shuleni kusoma.
👉Au Nazo ni ibada???
Wake up bro
Hapa Kiranga hausiki ukimwita mada inakuwa nyengine kabisa, ndio maana unaona pale juu before kuandika hoja yangu nimemuuliza jamaa "Unaamini kwenye Dini" inamaana kama haamini means purpose anaijua yeye yake kama anaamini nimemkumbusha Purpose, so kiranga akija yeye haamini kwenye Dini Purpose yake anaijua yeye mimi siijui na hainihusu.Mkuu kwa hoja zako hizo, naomba nimwite bro Kiranga na mshamba_hachekwi wakupe majibu🙏🙏.
Hii system ali iweka Nani??, Na Ina itwaje???.
Tupo Dunaini kufanya ibada, tumewekewa system ya maisha ya kuishi kwenye hio system kuna njia elefu za kufanya ibada hata hapa navyaondika na kukumbusha hili "Hii kwenye uislam tunaita UKUMBUSHO" ni ibada tiali yaani mimi kukwambia kitu hiki mimi tiali nimefanya ibada na nahesabiwa.
Kama unaswali uliza
Huwa napenda tujadiliane watu wa misingi tofauti, Kutokana na kwamba tupate mtiZamo was kila mtuHapa Kiranga hausiki ukimwita mada inakuwa nyengine kabisa, ndio maana unaona pale juu before kuandika hoja yangu nimemuuliza jamaa "Unaamini kwenye Dini" inamaana kama haamini means purpose anaijua yeye yake kama anaamini nimemkumbusha Purpose, so kiranga akija yeye haamini kwenye Dini Purpose yake anaijua yeye mimi siijui na hainihusu.
Wapo wanawake wengi wameolewa na kupata watoto at 30S na ni kawaida kwa dunia ya sasa. Hivyo usihofu saana.Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Nakuelewa sana.
Maisha hatufanani mazingira.
Wazazi wametuachia vijana jukumu kubwa hili la kutafutana mke na mume kwenye dunia iliyochafuka. Washenzi wengi kuliko wastaarabu. Chuo ni sehemu nzuri sana ya kupata mwenza. Shida ajira siku hizi tunachelewa kuzipata na bila ajira kuoa ngumu maana tunatokea familia maskini. Hivyo spouse wa chuo hamtoboi..
Kuna watu wanakulia mazingira ambayo wanapata spouse kwa jirani zao tu nyumba ya pili
Kuna watu wanapata ajira zinazowafanya wawe wanakutana na watu wengi wapya wanaotafuta wenza kila siku yao ya kazi.
Mwanamke mstaarabu na mwanaume mstaarabu kukutana ni ngumu sana zama hizi kama sio majirani, ama hamjasoma shule ama chuo pamoja.
Nje ya hapo hata mkikutana mnakuwa hamna imani maana hamjuani. Kitu kidogo tu mnaachana
System ndio hayo maisha, basic sisi tufanye ibada akatuwekea maisha ambayo yanachangamoto na akatuwekea udhaifu kama njaa na u joblessHii system ali iweka Nani??, Na Ina itwaje???
👉So unaona ibada ndo msingi was kila kitu!
Swali Zuri, nilishawahi kumwambia mtu watu tunakuwa kwenye dini fulani kwasababu tumezalowa kwenye imani hio ila kimsingi ukishota kwenye utoto ukiwa na akili inabidi ufanye tathmini ipi imani ya kweli Duniani, angalia imani zoote na misingi yake.Wewe SI muislam, means une rithi dini hiyo!?
👉Ungezaliwa katika ukristo, ungekuwa mkristu ( am I right)
Vivyo hivyo kwa ma budha, wahindu na hata wapagani
Mungu kasema "Mungu kasema nimewaumba hili muniabudu"Sasa unaweza vipi ku declare huo mfumo unao uita ibada, ndo our only life purpose on Earth!?
Sea Beast