Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Ushauri mzuri sana ashindwe yeye tu
 
Eeh yamekuwa hayo
Mabinti wengi wa miaka 22-26 huwa wanavunja mahusiano ili hali wameshakula pesa kibao za wanaume waliotaka kuwaoa matokeo yake ndio hayo huwa wanaishia kuja kuzaa na wastaafu wakiwa majumbani kwa wazazi wao
Kijana katumia pesa nyingi kipindi Cha uchumba halafu mwisho unakuja kumchomolea
 
Kwani ilitakiwa umri gani awe ameolewa na kupata mtoto?
20-35 isizidi hapo mkuu ikizidi tu inakuwa mgogoro ndo unakuta baadae anakuja kuwa msimbe anaegawa kipochi hovyo 😅

Ni hatari nakuambia imagine hata mtoto hana hiyo ndo hatari nyingine

Cc Kasie
 
Naona wadau wengi wanachangia mada kwa kukushutumu kwamba unachagua sanaa, mimi sijui uhalisia ni upi lakini wewe unaujua..
Shida ni nini? Hautongozwi kabisa au wanaokuja unawaona wachovu ama laa hawaendani na matarajio yako?
Sijawahi kuumba hata nzi siwezi kuchagua sana sababu huko ni kumkufuru Mungu, basi tu mimi mwenyewe sielewi ila huenda ni tight schedule kipindi nasoma kidogo nilikua busy so sikua na social life sana😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…