PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Eeh yamekuwa hayoNauli na Pesa za wanaume ulizokula ndio zimekufikisha hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh yamekuwa hayoNauli na Pesa za wanaume ulizokula ndio zimekufikisha hapo
Nna 55 braza mwakani nastaafu kwa hiyariTangu nikujue, mpaka leo kuna uwezekano age yako ikawa 4 to forty
Inavyoonrkana we ni zaidi ya 35 asee hata 45 unafika kabisa your too old sister 🧓😄😄😄35 hii hapa.....naisema tu ila naogopa 😔
Nakazia mkuu huyo binti ana 40+ haiwezi kuwa 35 kabisa mi nakataaTangu nikujue, mpaka leo kuna uwezekano age yako ikawa 4 to forty
55 na miezi mitatu bro nimekula chumvi hadi nkawa salt yani 😹Inavyoonrkana we ni zaidi ya 35 asee hata 45 unafika kabisa your too old sister 🧓😄😄😄
Chaii
Ushauri mzuri sana ashindwe yeye tuKuna kitu nahitaji kuwafunza mabinti ambao hawajafika 30.
Ukipata mpenzi ukamuona ana hofu ya Mungu, maisha yake yapo wazi hasa tabia zake, anakupenda kwa dhati, yupo tayari kukutambulisha kwa ndugu zake na kwa familia yake.
Yamkini asiwe na kipato kikubwa sana ila ana uwezo wa kufanya wote mle na mkalala, ISHI HAPO.
Acha tamaa za kutaka uolewe na mwanaume mwenye pesa, anayefanya kazi TRA, bandari, mfanyabiashara mkubwa, mwenye muonekano fulani n.k mwisho mtakuja kuangukia kwa wanaume za watu au kwa wanaume ambao wataishia kukuchezea. Kumbuka sehemu kubwa ya mwanaume mwenye pesa, ngono anachukulia starehe tu, kwahiyo atakuchukua na kukutumia baada ya kukutamani akijua anapiga na kupita zake.
Binti yangu, huyo mwanaume wa mtu unayemuona ana pesa, hazijaja tu hivi hivi, alianza chini kabisa kama huyo kijana ambae kwa sasa wewe unamdharau.
Kama umewahi kumnyanyasa kijana wa watu kisa masikini, yeye sijui hana umbo zuri n.k moyo wake ukaumia, katafute suluhu naye sababu huenda kuna mambo yako yakafunguka.
Mabinti sio kwamba mnakosa watu wa kuwaoa ila tamaa za maisha zimekuwa zikiwatesa wengi, (kumbuka Hawa alidanganywa kwa kutamani pale bustani ya edeni, mwanamke ukiishinda tamaa una sehemu kubwa sana ya kuishi maisha ya furaha duniani). Mnapenda smartphones, kila wiki msuke, utolewe out n.k mnaishi maisha ya udangaji kisa mna uzuri wa sura au mna matako makubwa, kwa bahati mbaya sana, ukishazoea kudanga, mwanaume yeyote atakujua tu, udangaji ni kama ngozi, HAIJIFICHI na hata ukijitahidi, mtu atasikia tu stori zako.
Sasa hivi kijana wa 30, 31, 32 ambapo kwa sehemu kubwa ndo vijana wengi walau kwa sehemu wanaanza kuona mwanga ktk eneo la uchumi hawezi kuwa na mwanamke wa 30, lazima atafute wa 24, 25 au 26 unless awe mpumbavu.
Girls kuweni makini sana na umri, uliowatupa kisa hawana ela, wakipata ela na wao watakuona wewe sio hadhi yao. Tafuta kijana mwezio mtakaopendana, mtie moyo ktk utafutaji, mpende sana na kumpa heshima hata pale ambapo anapungukiwa, mwanaume huyo hatokusahau.
Mabinti wengi wa miaka 22-26 huwa wanavunja mahusiano ili hali wameshakula pesa kibao za wanaume waliotaka kuwaoa matokeo yake ndio hayo huwa wanaishia kuja kuzaa na wastaafu wakiwa majumbani kwa wazazi waoEeh yamekuwa hayo
20-35 isizidi hapo mkuu ikizidi tu inakuwa mgogoro ndo unakuta baadae anakuja kuwa msimbe anaegawa kipochi hovyo 😅
Ni hatari nakuambia imagine hata mtoto hana hiyo ndo hatari nyingine
Cc Kasie
Kumbe reality mnaijua ila sasa mnavyoringanga tukiwatongoza mkiwa miaka 24-29Nyie hamna shida hata at 50yrs unaweza oa tena kabinti kabichii, sisi unachakaa hadi unatokeza mapengo nani atakubali😒
Naona wadau wengi wanachangia mada kwa kukushutumu kwamba unachagua sanaa, mimi sijui uhalisia ni upi lakini wewe unaujua..Why nitanie mkuu, ni ukweli mchungu😒
Mimi ni 36 sasa ndo napanga nioe maana nimegundua utajili ni mgumu kama Tarura wanadhulumuHivi kwanini Mwanamke akifika miaka 25+ kama hana Mtoto wala Mume anachanganyikiwa alafu Mwanaume anaweza kua na 32+ hana Mtoto wala Mke alafu fresh tu hata hapagawi???
Namshukuru Mungu nimeshamalizaUshamaliza?
Fungua pm bibieHun, bado muda upo. Please be careful... desperation isukupe a wrong person. Ndoa ni huge responsibility. Hugs
😅😅😅utajili ni mgumu kama Tarura wanadhulumu
Thank you dear, umenipa moyo👏Hun, bado muda upo. Please be careful... desperation isukupe a wrong person. Ndoa ni huge responsibility. Hugs
Shughuli za kijamii huwa unashiriki mara kwa mara Mkuu?Thank you dear, umenipa moyo👏
Sijawahi kuumba hata nzi siwezi kuchagua sana sababu huko ni kumkufuru Mungu, basi tu mimi mwenyewe sielewi ila huenda ni tight schedule kipindi nasoma kidogo nilikua busy so sikua na social life sana😢Naona wadau wengi wanachangia mada kwa kukushutumu kwamba unachagua sanaa, mimi sijui uhalisia ni upi lakini wewe unaujua..
Shida ni nini? Hautongozwi kabisa au wanaokuja unawaona wachovu ama laa hawaendani na matarajio yako?