Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Souli meti jamani!

Just invest in yourself. Be the best version of yourself. Be independent economically. Jitambue; and seek to exponentially grow emotionally. Don't be desperate eti kwa kuwa umevuka 30. Endelea kujitunza na kumtegemea Mungu. No casual sex whatsoever na jisamehe kwa past yako hata kama ni mbaya kiasi gani. Mbona ni suala la muda tu kabla hujampata Mr. Right wako? Please make sure you attract what you want in your life. Unakumbuka ile kanuni yetu?

Na kwa nini unajiona kuwa maisha yako hayajakamilika bila kuwa na mume? Peer pressure? Societal expectations? Low self esteem issues? Inferiority complex? Past relationships' trauma? Come on soulimeti. Unaniangusha sasa na CPA yako! 🤪
 
Thank you soulimeti, am not that desperate but sometimes yes mimi ni binadamu, if things are not working out as i wished, inanifanya nipanic na kiukweli naamini katika kuwa na familia, so kuona umri unaenda na sifanikishi hilo kidogo inanisumbua, ila am ok , na hata kushare humu na kupata hizi comments positive inanipa moyo.🙏
 
Nina watoto ila kutokuishi na familia tu najiona ni mwenye hatia vibaya,mtihani wako ni wa rada tracking,punguza kuchagua sana zingatia mambo ya msingi kama utu na uelewa mengine yawe ziada,punguza wivu kama una wivu.

Mwanamke akisha fikisha miaka 30 afya yake ya uzazi inakuwa na changamoto sana
 
 
Kivipi sasa natumai hata wewe ulichagua mwanamke wa kuzaa nae shida nini wao wakichagua mwanaume wa kua nao??

i don’t think kuna shida 🤔
 
Hivi kwanini Mwanamke akifika miaka 25+ kama hana Mtoto wala Mume anachanganyikiwa alafu Mwanaume anaweza kua na 32+ hana Mtoto wala Mke alafu fresh tu hata hapagawi???
Kuhusu swala la kuchanganyikiwa, watachanganyikiwa sana ... kwasababu wakiwa katika age ya 20....hua wanalinga sana wakiamini uzuri wa sura na umbo vitadumu ila baada ya kuchezewa sana ndyo wanaanza kutafuta MR NICE GUY wa ku settle nae ili wajenge familia


conclusion: kama wanavyolinga katika katika age ya 20±++ basi waendelee kulinga hivyo hivyo mpaka mwisho waendelee kushikilia bomba
 
Eeh babuu
 
👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…