Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰

Miaka 6 toka sasa kama hujaolewa ndio utakuwa katika hali mbaya sana kimawazo na utaona wazi sasa unazeeka huolewi live, cha kufanya kama una mwanaume ameoa na unaona mnaelewana sana au wewe ukubali uwe mchepuko wake uzae nae alafu malezi mna share, but hiyo inahitaji maongezi ya siri na utakosa uhuru wa kumwita mume wako in public..

So kuliko kukosa watoto au uwe mchepuko na uwe na watoto bora ipi? Najua hii comment utaona kama haina maana, but after 6 to 8 yrs kama bado hujaolewa utanielewa sana, sbb najua huwezi kubali kuolewa na wanaume asiye na plan au hana hili wala lile, so bora ukawa mchepuko na uvumilie kuwa mke wa siri sana ila una watoto, ila pia sio rahisi wako wanaume hawakubali kabisa kuzaa nje ya ndoa zao, so ni suala zito pia.
 
Hahaha wanawake saa ingine mnanifurahishaga, sisemi ukubali kila mtu anaekutongoza, ila utakuta unamfata mdada anakukataa kwa kukwambia ana mtu wake, hiyo kukataliwa ni sawa haina shida, ila sasa ukichunguza, mara nyingi utakuta huyo mtu mwenyewe anaeitwa boyfriend, ukijilinganisha nae unajiona bora hata wewe uliekataliwa, mtu mwenyewe sasa

1)Mume wa mtu
2)Babu mzee mstaafu
3)Kijana wa hovyo kitabia, muonekano rafu, anaekaa mtaani bila mishe.
4) Anadai ana mtu wake, ila utaona kabisa huyo mwanaume hamuhudumii huyo mdada, wala kumjali kwa chochote, unaona huyo mwanaume anafata sex tu toka kwa huyo mdada, mdada nywele anasuka twende kilioni, smartphone ina crack za kutosha, unajiuliza boyfriend wa huyu mdada anashindwa kumpa mwanamke wake monthly expenses for her upkeep, mdada apendeze, unajiuliza boyfriend wa huyu mdada haoni thamani ya alicho nacho.

Au utakuta mfano mwanamke anafanya kazi zisizoendana na hadhi yake k.v kuosha nywele saluni za wanaume, au baa, halafu anakukataa kwa kusema ana boyfriend, imagine huyo ni boyfriend wa namna gani.

Basi utakuta mwanaume unakosa cha kufanya, unaangalia tu kwa uchungu, jinsi mdada uliempenda alivomchagua baraba na kumkataa Yesu mamamzungu

Mapenzi ni upofu bro kwani wanaume wangapi wanateswa na wanawake wa hovyo

Hayo yote uliyoyasema mwenzio hayaoni halafu sio rahisi kujua kama hupendwi ukiwa upo inlove so usiwalaumu

Hizo point zote unatakiwa umwambie labda akili yake itafungukaa

Nilicho note hapa ni kuwa kumbe wanaume mnapenda kuwa responsible kwa mnaowapendaa[emoji2][emoji2][emoji2]

Nimegundua mwanaume asienihudumia hanipendii [emoji1787][emoji1787]

Kingine wanaume ni waongo na sisi ni wepesi kudanganyikaa
 
Miaka 6 toka sasa kama hujaolewa ndio utakuwa katika hali mbaya sana kimawazo na utaona wazi sasa unazeeka huolewi live, cha kufanya kama una mwanaume ameoa na unaona mnaelewa sana au wewe ukubali uwe mchepuko wake uzae nae alafu malezi mna share, but hiyo inahitaji maongezi ya siri na utakosa uhuru wa kumwita mume wako in public..

So kuliko kukosa watoto au uwe mchepuko na uwe na watoto bora ipi? Najua hii comment utaona kama haina maana, but after 6 to 8 yrs kama bado hujaolewa utanielewa sana, sbb najua huwezi kubali kuolewa na wanaume asiye na plan au hana hili wala lile, so bora ukawa mchepuko na uvumilie kuwa mke wa siri sana ila una watoto, ila pia sio rahisi wako wanaume hawakubali kabisa kuzaa nje ya ndoa zao, so ni suala zito pia.

Duuh yaani awe mchepuko kwaajili ya miaka30

Hivi angekuwa binti yako ungemshauri hivi ???

Hivi dunia nzima wanaume wameisha mpk awe mchepuko??

Mimi nachojua huyo dada wa kumuoa wapo wengi tu sema yeye kuna mwanaume wa standard yake anayemtaka ila sio kwamba amechunda [emoji3064]
 
Mh haya ahsante mkuu, but wakati wa "kujionana mimi kama mimi?" Haya ahsante and am sorry kama kuna mtu nilimpuuza pasipo hata kujua labda. Hatupaswi kupuuziana sisi wote viumbe wa Mungu.

Pia umejoin humu 2024 lini nilikupuuza?[emoji25]
I feel your pain[emoji16][emoji848]
 
Unamaanisha ni kama mambo gani hasa yanaweza kupelekea hivo?ili na wengine wajifunze isije kuwatokea hii situation
Kama sikosei 2020 au 2019 nililetaga uzi huku wa kutafuta mwenza ila dada zangu waliupita kama hawauoni na wale waliocomments kwenye huo uzi kuna baadhi niliwafuata pm ila bado walinipotezea
 
Mapenzi ni upofu bro kwani wanaume wangapi wanateswa na wanawake wa hovyo

Hayo yote uliyoyasema mwenzio hayaoni halafu sio rahisi kujua kama hupendwi ukiwa upo inlove so usiwalaumu

Hizo point zote unatakiwa umwambie labda akili yake itafungukaa

Nilicho note hapa ni kuwa kumbe wanaume mnapenda kuwa responsible kwa mnaowapendaa[emoji2][emoji2][emoji2]

Nimegundua mwanaume asienihudumia hanipendii [emoji1787][emoji1787]

Kingine wanaume ni waongo na sisi ni wepesi kudanganyikaa

Hahaa nikijaribu mfumbua macho a woman in love, nitaonekana snitch, na atafikiri nasema hayo sababu kanikataa, hivyo huwa naheshimu maamuzi yake, huku nikihuzunika rohoni, kwamba nina hamu na uwezo wa kum-treat vizuri, kumpenda sana, na kumuonesha upendo mkubwa kuliko boyfriend alie nae, lakini ndo ivo, sipendwi, na mbaya zaidi yeye ka-fall kwa mwanaume asie sahihi kwake.

At least hata huyo mwanaume alienae angekuwa the right man, moyoni unakuwa na amani kuwa ingawa nimekataliwa, lakini the woman I love, is in happy relationship with the right kind of a man. Unajua as long as she is happy am happy

Sasa unakuta Yuko kwa mwanaume muhuni asie sahihi kwake, pain na huzuni inakuwa mara 4 mamamzungu
 
Can only imagine the pressure (can't relate)
Muhimu jikite kwenye ajira yako au biashara yako, wekeza
Nenda nyumba za ibada, jitoe out, kama unapenda mziki pita pita sehemu za kistaarabu wanazopiga live music or band.
Bila kusahau kujipost post pictures modesty online na kushare vitu mbalimbali unavyopenda.
I believe a person atakeona mnaendana will locate you.
Kikubwa sali sana maneno ya walimwengu yasikustress na pia usijishushe hadhi ili kumuaccomodate mtu, anaekuthamini atapanda hadhi ili muendane, inshort focus dating within or beyond your tax bracket. NEVER BELOW YOUR TAX BRACKET, utanyanyasika sana
 
Maisha maisha, ukiyaelewa maisha hutamuuliza mwenzio kwanini huna hiki, kwa nini huna kile. Kuna watu huwaona wenzao wenye umri sawa na wao kuwa wanamapungufu kwa kuwa hawajaolewa au kuoa. Kuna watu huwakejeli wenzao kwa kuwa hawana vile walivyo navyo wao hata kwenye uzi huu nimesoma comments nyingi za watu wa namna hio.

Ukijua kuwa tunatofautiana kimalezi na familiabtulizo toekea huwezi kumuona mwenzio mwenye hatia kisa hana kile ulicho nacho wewe. Kuna watu ni wabinafsi sana na kuna sisi ambao changu ni cha familia zetu tulizotokea. Kuna watu wana attack sana wenzao kisa hawajaoa wala kuolewa. Ila maisha ni fumbo kubwa sana.

Mimi ni me niko early 30s sijao na sina mtoto. Wapo watu hunishangaa kidogo kwanini sijaoa na ninaonekana kuwa na kauchumi japo kadogo. Ukiniona mimi sio mtu wa ku lialia njaa, ni yule mtu wa kuishi kulingana na kipato changu. Wasichokijua mimi nimeokea familia fukara sana, nyumba ya nyasi choo cha makuti cha kulenga. Nilipoanza kujitegemea niliapa kujenga nyumbani kwanza kisha nijenge kwangu ndio nioe.

Mungu akanisimamia, nilijenga home nikamaliza, nilirudi home tukapika pilau tukala tukazindua nyumba mama akachoma ndani japo ilikua haijaisha vizuri. Sasa nikaanza kujipambania mwenyewe kutimiza ndoto zangu. Bahati nzuri nilikua nimeshanunua viwanja viwili, nikaanza kujenga hekalu langu mdogo mdogo. Mama aliishi miaka mitano akafariki.

Nilipoenda kwenye msiba, baada ya kuzika nikaanza kuzurula. Nikaja kugundua vijana wenzangu wengi wameoa na wana familia ila hawakujenga kwao, sazazi wao bado wanaishi kwenye udongo na nyasi. Nikakumbuka maneno ya mama aliwahi niambia, "mwanangu iku ukioa sijui nitakua nakimbilia kwa nani" alimaanisha nikioa nitakua bize na familia yangu kama vijana wengine.

Ninachotaka kusema ni kuwa, kuna watu tunafukiria na wenzetu sio sisi pekee. Sasa namalizia hekalu langu niweke mtoto ndani. E MUNGU NISAIDIE.
 
Duuh yaani awe mchepuko kwaajili ya miaka30

Hivi angekuwa binti yako ungemshauri hivi ???

Hivi dunia nzima wanaume wameisha mpk awe mchepuko??

Mimi nachojua huyo dada wa kumuoa wapo wengi tu sema yeye kuna mwanaume wa standard yake anayemtaka ila sio kwamba amechunda [emoji3064]

Wewe unaona wanaume wako wengi sbb umeshaolewa, unaongea kwenye comfort zone, sbb huna pressure, hao wanaume wengi wako wapi? Supermarket au wapi? Usichanganye wanaume na wavulana au wanaume suruali ukadhania ndio umewaweka kapu moja wanaweza kumudu ndoa.

Sasa hadi kafika 30s na hajaolewa ujue kuna tatizo na yeye kaona, standard yake ndio imeshindikana, so akae tu hadi uzee au menopause imkute? Bora azae kama mchepuko, maana hadi sasa kakosa wa standard yake na miaka inakimbia.
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Njoo nikuoe
 
Sisemi ni mafataki, ni kioendacho roho, naheshimu machaguzi yao, ila nabaki najiuliza tu inakuwaje kuwaje, wanaanzaje na wanaishi vip! [emoji23][emoji1787]
Kiukweli vitoto siviwezi, yaani mtu namzidi miaka 5,10.. Haya mahusiano siyawezi
Mbona miaka mitano midogo tu...
E.g a woman 30, a man 35 hapo utasema mmezidiana?
 
Maybe this is different where you live. Most women I know waited until 30+ to have kids and they were fine. That is what I have seen in my own social circle. It is extremly common and normal.

25-27 is the most common university graduation age. So 30 is absolutely nowhere near too late to have kids.

Too old to do this or that is the exact same ideas that get many people into difficult situations they are not ready for. Fertility issues can happen at any age.

financial services , don’t sweat it, just take your life as it comes.
Thank you for your advice Hannah🥰🙏
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Kwa iyo ushafikia ile ya "Ilmradi anapumua"?
 
Back
Top Bottom