Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Miaka 6 toka sasa kama hujaolewa ndio utakuwa katika hali mbaya sana kimawazo na utaona wazi sasa unazeeka huolewi live, cha kufanya kama una mwanaume ameoa na unaona mnaelewana sana au wewe ukubali uwe mchepuko wake uzae nae alafu malezi mna share, but hiyo inahitaji maongezi ya siri na utakosa uhuru wa kumwita mume wako in public..
So kuliko kukosa watoto au uwe mchepuko na uwe na watoto bora ipi? Najua hii comment utaona kama haina maana, but after 6 to 8 yrs kama bado hujaolewa utanielewa sana, sbb najua huwezi kubali kuolewa na wanaume asiye na plan au hana hili wala lile, so bora ukawa mchepuko na uvumilie kuwa mke wa siri sana ila una watoto, ila pia sio rahisi wako wanaume hawakubali kabisa kuzaa nje ya ndoa zao, so ni suala zito pia.