min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ila duh , ungekua mwanaume ungeelewa hulka yetu ya kuwa na wanawake wengi ipoje 😊 hii kitu sio utani ni silka tu labda mazingira na hali fulani hasa ya kiuchumi ikubaneAahh kumbe muda wote nabishana na mtu mwenye mtazamo huu basi ningejua hata tusingefika kote huku
Mkuu wewe sasa ndio tunaongea lugha moja, binafsi huwa nabishana na wale wanaosema eti mwanaume akiwa na wanawake wengi hakuna madhara, ila kwa mwanamke yapo ndio nataka waniletee hapa hayo madhara hasa physical
Hata mimi mtazamo wangu ni huo huo kwamba kila mtu awe na mpenzi mmoja tu, sasa mwanaume ukishataka uwe nao wengi kwa visingizio vya kipumbavu hao wanawake nao lazima wakae mguu nje mguu ndani, maana wanajijua wapo wengi hivyo hawana uhakika wa kuolewa hapo
Ila kwa wanawake wengi naonaga hawapendi mingo za kuliwa na kila mtu ni basi tu na sisi huwa tuna wa brek sna ndio maana inatokea hivyo.