Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Aahh kumbe muda wote nabishana na mtu mwenye mtazamo huu basi ningejua hata tusingefika kote huku

Mkuu wewe sasa ndio tunaongea lugha moja, binafsi huwa nabishana na wale wanaosema eti mwanaume akiwa na wanawake wengi hakuna madhara, ila kwa mwanamke yapo ndio nataka waniletee hapa hayo madhara hasa physical

Hata mimi mtazamo wangu ni huo huo kwamba kila mtu awe na mpenzi mmoja tu, sasa mwanaume ukishataka uwe nao wengi kwa visingizio vya kipumbavu hao wanawake nao lazima wakae mguu nje mguu ndani, maana wanajijua wapo wengi hivyo hawana uhakika wa kuolewa hapo
Ila duh , ungekua mwanaume ungeelewa hulka yetu ya kuwa na wanawake wengi ipoje 😊 hii kitu sio utani ni silka tu labda mazingira na hali fulani hasa ya kiuchumi ikubane

Ila kwa wanawake wengi naonaga hawapendi mingo za kuliwa na kila mtu ni basi tu na sisi huwa tuna wa brek sna ndio maana inatokea hivyo.
 
Mwanamke/mwanaume anaweza kudate watu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, nadhani watu hawaelewi hii kitu, kudhani kwamba dating equals ngono ni kosa kubwa sana.

Sasa unadate vipi mtu mmoja wakati hujui yupi kati yao anaweza kuwa mume? Date as many men as you can(only potential husbands), kati yao utachagua yupi unaona anfaa kuwa mume, na katika hili tunasema mshurikishe Mungu. Katika dating weka ngono pembeni(kitu ambacho wengi hatuwezi) hadi pale utakapokuwa na uhakika kuwa Eroni is my man, sasa unadate wanaume wanne na wote unawapa papa jamani, that's umalaya.
Mmhh kwamba wakati huyo mwanamke anatafuta nani anafaa kuwa mume hao wanaume nao wamekaa tu wanasubiri bila kutaka mzigo, mimi naamini wanawake hilo wanaweza ila shida iko upande wenu wanaume mtakubali, maana mnachukulia kama vile mmewekwa kwenye friend zone hivyo huwa mnajikataa mapema
 
Ila duh , ungekua mwanaume ungeelewa hulka yetu ya kuwa na wanawake wengi ipoje [emoji4] hii kitu sio utani ni silka tu labda mazingira na hali fulani hasa ya kiuchumi ikubane

Ila kwa wanawake wengi naonaga hawapendi mingo za kuliwa na kila mtu ni basi tu na sisi huwa tuna wa brek sna ndio maana inatokea hivyo.
Mimi naelewa mkuu kwamba ndio hulka yenu sasa kama mnajijua mko hivyo basi msiwatupie lawama wanawake kwa sababu ni ninyi ndio mnasababisha, kuna comment kule juu nilisema siyo kwamba wanawake wanapenda kuwa na wanaume zaidi ya mmoja ila hiyo hulka yenu ndio inawalazimu, sababu huwezi kutegemea eti mwanamke naye atakaa kizembe kwenye mahusiano ambayo anajua wapo wengi na hana uhakika wa kuolewa hivyo naye lazima ajiongeze tu msiwalaumu
 
Mmhh kwamba wakati huyo mwanamke anatafuta nani anafaa kuwa mume hao wanaume nao wamekaa tu wanasubiri bila kutaka mzigo, mimi naamini wanawake hilo wanaweza ila shida iko upande wenu wanaume mtakubali, maana huwa mnachukulia kama vile mmewekwa kwenye friend zone hivyo mnajikataa mapema
Ndio, urafiki sio ngono sema jamii iliyoharibika kama yetu ngono ni kipaumbele namba moja. Unaweza kuwa na marafiki hata watatu na wasijuane ila wewe unachuja yupi anakufaa.
 
Mimi naelewa mkuu kwamba ndio hulka yenu sasa kama mnajijua mko hivyo basi msiwatupie lawama wanawake kwa sababu ni ninyi ndio mnasababisha, kuna comment kule juu nilisema siyo kwamba wanawake wanapenda kuwa na wanaume zaidi ya mmoja ila hiyo hulka yenu ndio inawalazimu, sababu huwezi kutegemea eti mwanamke naye atakaa kizembe kwenye mahusiano ambayo anajua wapo wengi na hana uhakika wa kuolewa hivyo naye lazima ajiongeze tu msiwalaumu
Hii ni kweli lakini.
 
Ndio, urafiki sio ngono sema jamii iliyoharibika kama yetu ngono ni kipaumbele namba moja. Unaweza kuwa na marafiki hata watatu na wasijuane ila wewe unachuja yupi anakufaa.
Sawa ila wanaume ndio mnaongoza kwa kusema kauli kama "hakuna urafiki kati ya simba na swala" au "hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia", niambie hapo mwanamke mwenye lengo la kuolewa anachomokaje kwenye huo mtego bila kujikuta anatoa mzigo kwa wote, kumbuka wanaume wengi huwa hamkubali kuwa kwenye friend zone hivyo mwanamke anatakiwa achague either kutoa mzigo au kuwapoteza kabisa hao so called marafiki
 
Wanawake mmeumbwa na mbinu nyingi sana, mpo so intelligent kwenye mambo hayo. Sio lazima kutoa mzigo na ukiamua unaweza kutengeneza urafiki hadi uchumba bila ngono. Kwani urafiki wa kumfahamu mtu ni mda gani, inashauriwa urafiki hadi ndoa(kwa watu serious) isizidi mwaka na nusu. Yaani toka mnafahamiana hadi mnaoana ni miezi 18 tu, sasa urafiki wa 3months si tayari ushamfahamu huyu ndie au sie?
 
Hivi haya mambo ya sijui wanawake kuumbwa intelligent sijui na mbinu nyingi huwa mnayatoa wapi mbona mara nyingi huwa mnasema wanawake ni viumbe dhaifu sana, ila kwenye mambo mengine huwa mko tayari kuwapa wanawake sifa zote nzuri hata za uongo ili mradi tu mtafute sababu ya kuwatupia lawama kuwa wameshindwa kutumia hizo sifa, anyway usisahau kwamba kwenye jamii zetu ni mwanaume ndiye anayeamua ndoa hivyo asipompenda mwanamke anaweza akatafuta sababu yoyote ile hata ya uongo kwamba kwanini hajamuoa yeye
 
Kuna maeneo wanawake wana nguvu nyingi na maeneo mengine wapo weak, hata kwa wanaume ipo hivyo.
Tunasema mwanaume ndio mwamuzi wa mwisho ila hata mwanamke anaamua kuolewa na Eroni au anakataa, kwamba nyie hamna kauli, sio kweli!
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa[emoji848]

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?[emoji17]

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance [emoji122][emoji3059]

Mi naamini kila jambo na wakati wake. Ingawa kuchelewa kuzaa napo ishu inakuja kulea watt wakat umri umeenda unaweza kuwa umestaafu na mahtaj ni meng wakat nguvu kwisha
 
Kuna maeneo wanawake wana nguvu nyingi na maeneo mengine wapo weak, hata kwa wanaume ipo hivyo.
Tunasema mwanaume ndio mwamuzi wa mwisho ila hata mwanamke anaamua kuolewa na Eroni au anakataa, kwamba nyie hamna kauli, sio kweli!
Hahaha kwamba mwanamke akiamua tu kuwa anaolewa na eroni basi tayari ndoa hii hapa hebu tuongee uhalisia uliopo tuache kuwa biased, mwanamke mwenye nia dhabiti ya kuolewa anakataaje pale mwanaume wake anapomumbia kuwa sasa anataka kumuoa, na je mwanaume wake akisema hataki kumuoa waachane hapo mwanamke analazimishaje ndoa
 
Nadhani hatujaelewana, mwanamke anaweza kukataa kuolewa na mwanaume fulani, sio lazima kila proposal inayokuja mwanamke aikubali. Tumeshuhudia wadada wengi wakikimbia wachumba mbona.

So, hata Ke anaweza kukataa proposal ya ME kiroho safi, hata Ke anaweza ku-initiate ndoa.
 
Mkuu bora na wewe useme maana nikisema mimi naonekana nawatetea wanawake kuwa malaya, nimegundua wanawake wengi siyo kwamba wanapenda kudate wanaume zaidi ya mmoja ila wanaume wengi ndio wanawalazimisha, wanaume wenyewe unakuta kapanga msururu wa wanawake kibao na anajua kabisa hapo wote anawachezea tu hawaoi au ataoa mmoja tu sasa hao wengine anataka wafanye nini
Kwahiyo mwanaume akiwapanga msururu na wewe unawapanga msururu ? Sasa kazi ya akili yako inakuwa wapi ?
 
Back
Top Bottom