Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Jadda une nikumbusha binti fulani, aisee alikuwa worth opponent.
[emoji117]Aisee hata waje 100, mta kalishwa iwe sahihi au sio sahihi[emoji3][emoji23]
Hahaha halafu ujue mkuu mimi huwa sioni sifa kubishana sema basi tu sipendi watu wanaopindisha ukweli, yani mtu anaona kabisa hii ni nyeupe ila kwa makusudi anaamua tu kujitoa ufahamu analazimisha iwe nyekundu, na ukijaribu kumuelewesha akaona hana hoja anaanza personal attacks kama wengi wanavyofanya humu
 
Mwanamke kuwa na tabia mbovu kwenye ndoa haimaanishi hakuolewa kwasababu ya kuwa na tabia njema, wengi huja kubadilika baadae sasa mwanaume sio malaika kujus kuwa huyu atabadilika....YOU as women unachotakiwa ku note ni kuwa na tabia njema ukiwa kwenye mahusino Am tell you hata uwe na uso kama Hamorapa unakuwa na nafaimsi kubwa ya kuolewa.

Nachojaribu sema tabia njema tunayozubgumzia hapa ni ile iliyokupa tickets ya ndoa ukibadikika baada ya ndoa yes yeye bado ni binadamu si hoja iliyopo mezani
Oohh kwahiyo mwanaume siyo malaika kiasi hawezi kujua kama huyu mwanamke atabadilika siyo, ila hapo hapo mnasema mwanamke ana uwezo wa kujua kuwa huyu mwanaume atamuoa au la, je kwani mwanamke naye ni malaika hadi ajue hilo

Anyway mmeshajiuliza ni kwanini wanawake wengi kwenye uchumba wanadisplay tabia njema, ila wakifika kwenye ndoa wanabadilika kiasi cha kufanya wanaume wanaona ndoa chungu, unafikiri sababu huwa ni nini hasa

Halafu kuhusu sifa za kuoa wewe kama mwanaume usiniambie hujui kwamba sifa hutofautiana baina ya wanaume wenzio, kuna wanaosema kwao kipaumbele ni uzuri wa sura na umbo, tabia watarekebishana huko kwenye ndoa
 
Ndio maana niliuliza swali rahisi, kwamba je wanawake wote wenye tabia njema wanaolewa na wote wanaoachwa wana tabia mbovu, na je una uhakika walioolewa wote wana tabia njema tuanzie hapo
Tatizo kubwa wadada wengi wanadefinition tofauti kati ya kuolewa/kufunga ndoa na kuanzisha familia au kuishi mwanamme.

Hivi unajua ya kwamba asilimia kubwa ya wadada wanapenda kufunga ndoa au kuolewa yaani ile tukio(event) la kupeleka mahari, kuvaa shera, kwenda kanisani, kufanya sherehe basi kiu yao inakuwa imeishia hapo.

Wadada wengi hawana kiu ya kuishi na mwanamme ndiyo maana hizo events zikiisha asilimia kubwa wanakimbia ndoa zao.

Mwanamke ambaye anatabia mbovu na amefanyiwa events za kuolewa, huyo hawezi kaa na mwanamme, lazima ndoa yake ataivunja muda wowote kwani tabia zake ni mbovu hata kama kaolewa/ kafanyiwa events hawezi ishi na mwanamme.

Ila mwanamke ambaye anatabia njema, afanyiwe au asifanyiwe events za kuolewa huyo lazima ataendelea kuheshimu mahusiano yake na atadumu kuishi na mwanamme.

Siyo kila mwanamme anaweza kuscreen mwanamke mwenye tabia njema, wengi huwa wanaingia mkenge wanaoa mwenye tabia mbovu ambapo huwa wanashindwana kwenye kuishi pamoja na wanaachana.

Wadada wakiacha kuwa trapped kwenye event ya kuolewa/kufunga ndoa, maana hayo maevents yanafanyika sana na hayana maana yoyote katika maisha halisi ya familia. Ila siku wakifocus katika kuanzisha familia na mwanamme, hakuna mdada yeyote aliye serious atakosa mwanamme wa kuishi naye.

N.B mahusiano au ndoa ni ya mwanamke. Mwanammke ndiye anauwezo wa kuanzisha mahusiano au kuyavunja. Fact ni kwamba Zaidi ya 80% ya talaka mahakamani zinaombwa na wanawake.
 
Mkuu una uhakika kwamba wanaume wote wakishagundua kuwa wamekosea kuoa basi wanaachana na wake zao, na je mmeshajiuliza kwanini wanawake wanapenda hizo events ila wanashindwa kuishi na wanaume unadhani sababu huwa ni nini, mwanamke huyu huyu ambaye ana uwezo wa ku multi task na kuishi na watu wengine vizuri kama ndugu na jamaa pamoja na watoto wake kwanini ashindwe kuishi na mwanaume tu
 
Oohh kwahiyo mwanaume siyo malaika kiasi hawezi kujua kama huyu mwanamke atabadilika siyo, ila hapo hapo mnasema mwanamke ana uwezo wa kujua kuwa huyu mwanaume atamuoa au la, je kwani mwanamke naye ni malaika hadi ajue hilo

Anyway mmeshajiuliza ni kwanini wanawake wengi kwenye uchumba wanadisplay tabia njema, ila wakifika kwenye ndoa wanabadilika kiasi cha kufanya wanaume wanaona ndoa chungu, unafikiri sababu huwa ni nini hasa

Halafu kuhusu sifa za kuoa wewe kama mwanaume usiniambie hujui kwamba sifa hutofautiana baina ya wanaume wenzio, kuna wanaosema kwao kipaumbele ni uzuri wa sura na umbo, tabia watarekebishana huko kwenye ndoa
Tukisema sifa ya kuoelwa hakuna sehemu kwamba iliandikwa kwenye muongozo bali tunachukua ile sifa ambayo inabeba market share kubwa compare to others yes wapo wanaooa kwa kuangalia tako ni 2 kwa 10 ila wanaooa kwa tabia ni 8 katika 10 That....hoja meaning ikiwa mwmanamke kuolewa lazima sifa ya tabia iwe ina shine over others.
 
Mkuu una uhakika kwamba wanaume wote wakishagundua kuwa wamekosea kuoa basi wanaachana na wake zao, na je mmeshajiuliza kwanini wanawake wanapenda hizo events ila wanashindwa kuishi na wanaume unadhani sababu huwa ni nini, mwanamke huyu huyu ambaye ana uwezo wa ku multi task na kuishi na watu wengine vizuri kama ndugu na jamaa pamoja na watoto wake kwanini ashindwe kuishi na mwanaume tu

Hakuna mwanamme anayeweza vumilia kuishi na mwanamke aliharibika.

Na mwanamke aliyeaharibika, katu hawezi ficha tabia yake.
 
Mmh haya bana
Serious hujaona pm zangu 🙄🤔, financial services
FB_IMG_17078907254932337.jpg
 
Back
Top Bottom