Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

😡😡😡
You wrote shit dude, una embrace vipi mtu kiss avatar au jina la jf??.
👉Eti havi endani, we si sea beast vipi- ni mnyama wa baharini???
👉Una manyoya au Miguu 4🤔🙄

Bro ppl name themselves Kutokana na inspiration yao au Jambo wanalo fanya.
👉 So don't drag financial services kivile bhana
 
Easier said than done, kila mwanaume akija kwa gia ya kutaka kukuoa kisha akakuacha, unadhani suala la mwanamke kuwa na wanaume wengi linaepukika vipi
Bibie ndio maana nakwambia haya mambo yana hitaji elimu na akili. Muoaji anajulikana.

Hivi mnafikiri mnaishi katika ulimwengu ambao sisi hatuishi ?

Hakuba kitu chepesi kushinda kurudi kwenye asili. Kiasili mwanamke ni wa mwanaume mmoja. Ukiwa na Wanaume zaidi ya mmoja ujue umetoka kwenye asili na uhalisia. Kurudi ni rahisi sana, acha tamaa, tumia akili kwenye maamuzi na sio hisia, ishi katika misingi sahihi, usishindane na mtu.
 
Sasa hizo jamii zilizopitia mfumo jike ni jamii ngapi na je zilikuwa na ushawishi kiasi cha kufanya mfumo jike ukubalike duniani, ndio maana nikasema tunapojadili hizi mada tuongelee wanaume au wanawake wa dunia nzima na siyo wa jamii fulani na dunia kwa ujumla wake inaendeshwa na mfumo dume haijawahi kuwa na mfumo jike, swali ambalo hujanijibu ulisema mwanamke kuwa na wanaume wengi ni habari na anadharaulika nikakuuliza mbona kwa wazungu siyo habari ni jambo la kawaida tu na hawadharauliki
Mpaka Historia imeandikwa ujue jambo lilikuwa kubwa na taathira mbaya, sababu lilikuwa linaenda kinyume na uhalisia.

Naam jambo hilo lipo kwa Wanaume wa Dunia nzima, hao waliopitia mfumo jike waliendekeza tamaa na nguvu za kiutawala, ila wapo walio ona hilo kwa mapana makubwa na hawakulifumbia macho.

Kadhalika Kuna wakati uchache unawakilisha wote au wengi. Ndio maana madhara ya mwanamke kuwa na mwanaume wengi ni kwa Dunia nzima.

Kwa wazungu kadhalika habari, na mfano niliona kutolea ni kwa hao hao,

Labda utupe mfano wa wazungu gani jambo hilo sio habari kabisa ?
 
Happy valentine's and Ash Wednesday, hope siku inaendelea vizuri🙏🥰
Tume vuruga kidogo😀
FB_IMG_17079168781064434.jpg
 
You wrote shit dude, una embrace vipi mtu kiss avatar au jina la jf??.
👉Eti havi endani, we si sea beast vipi- ni mnyama wa baharini???
👉Una manyoya au Miguu 4🤔🙄

Bro ppl name themselves Kutokana na inspiration yao au Jambo wanalo fanya.
👉 So don't drag financial services kivile bhana
Lete siraha hizo tuue mtu, aah kumbe familia
 
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Huu ndio wakati sahihi, Find Your Soulmate After 30: Marriage Secrets Revealed
-

-
00:00:00 - Why Age is an Advantage
00:00:53 - Your Pre-Marriage 'Test Drive'
00:01:45 - Look Beyond the Surface
00:02:43 - Your Relationship Cornerstone
00:03:41 - Your Story Matters
 
Kwani ukiambiwa Dunia imepitia wakati fulani ni kwamba lazima iwe ni Dunia yote ?

Hakuna swali ambalo sijalijibu, labda useme hukutegemea kujibiwa maswali yako kwa ushahihi.

Mada gani ambayo nimeitunga ? Sababu bado nipo kwenye majibu ya maswali na nimeendelea kukuonyesha madhara ya mwanamke kuwa na Wanaume wengi, hii ndio nukta yako ya mzozo. Halafu unaandika uongo kwamba sijakujibu maswali yako ?

Swali gani ambalo sijakujibu ?
Hicho kichwa kigumu,kinapenda ligi bila hoja za msingi.
 
Nimekuelewa mkuu, thank you kiukweli am not that selective, binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
Usije kuolewa na yeyote tu kisa kukimbizana na muda
Kumbuka ni maisha yako hayo,Hivyo unapaswa kuwa makini usiongozwe na desperation kufanya maamuzi.
Chagua kilicho bora ukimtegemea Mungu akuongoze.
 
kusema kufunga ndoa kanisani/msikitini hizo ni mbwembwe tuu. Haziwezi kubadilisha tabia ya mwanamke, kama ni malaya ni malaya tuu aijalishi ume mpa cheti cha kanisani/msikitini.

Mimi ndoa ninayoisemea ni mwanamke kujua ya kwamba hili tendo napaswa kufanya na mwanamme mmoja tuu. Binti akiweza kuwa loyal kwa mwanamme wake, ni asilimia kubwa huyo binti ataolewa.
Vipi kijana hapaswi kuwa loyal kwa mke wake?
 
Ingawa sina hakika kama ni kweli au unafurahisha genge, Pole sana mkuu.
Ndoa ni ishara ya ushindi na mafanikio kwa Wanawake wengi Duniani hasa Barani Afrika, middle east na Asia. Hivyo, wakigusa 30 bila ndoa hujiona kuwa wameshindwa kufikia lengo muhimu na kuianguasha jamii yao hasa wazazi.
Uzoefu unaonyesha hakuna kanuni ya upi muda sahihi wa kuoa au kuolewa, wewe mwenywe ndio determinant ya lini ni muda sahihi kuolewa. Ila kuna muda sahihi wa kuzaa kwa mwanamke 24- 36. Ukizaa ukiwa mzee kuna hatari za kiafya kwa mtoto. Sayansi inaonyesh ukizaa ukiwa kwenye 20s kuna tija zaidi kwa mtoto.

Ila unapaswa kutambua facts zifuatazo ili uweze kujua namna ya kutoboa. Kwanza, mwanamke ana nafasi ndogo sana ya kuamua nani amuoe na lini. Fact nyingine ni kuwa kwa kadri umri unavyosonga ndivyo mvuto wa kimapenzi wa mwanamke unapungua na eventual rate ya watia nia sahihi nayo inapungua. Fact nyingine ni kuwa ukiwa mrembo na ukiwa na umri mdogo na ukiwa na uwezo mkubwa wa kumpa furaha mwanaume unakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuolewa mapena. Bahati mbaya warembo wengi Duniani huwa hawana uwezo wa kuwapa furaha wanaume kutokana na demnd yao kuwa kubwa. Fact nyingine unapaswa kuelewa kuwa wanaume regardless ya utajiri au level ya elimu huwa wanatafakari sana kabla ya kufanya maamuzi ya kuoa, wanawahofia sana wanawake. Wanaume wanataka mwanamke atakayempa heshima, furaha na amani. Ingawa siku hizi kuna wavulana ambao wao wanapenda zaidi physical materials kutoka kwa mwanamke. Mwisho wanaume wengi wenye akili na wanaojiamini huwa hawapendi mwanamke mwenye akili sana au mtafutaji sana kwa sababu wanaamini kuwa wao wanajimudu. Kujua Kudeka, kubembeleza, sauti na ufundi wa ngono ni silaha muhimu za ushindi.
Kwa umri ulio nao unaweza ukafanya yafuatayo:
Kuzaa bila kujari suala la kuolewa. Athari yake ni kuwa utapunguza zaidi fursa ya kuolewa na mwanaume wa maana na unaweza kumpa mtoto changamoto ya kimalezi na tabia. Wenzenu Ulaya, America na Asia uenda Baa na kujitegesha kwa walevi.
Oa, tafuta kijana anayetaka kulelewa muoe.
Boresha tabia, kuwa msafi (ng'aring'ari) ndani na nje muda wote, kuwa simple, usiwe much know kwa sana, safiri mara kwa mara, kata mawsiliano na EXs, take risk ukiombwa mzigo. Usiende kwenye game bila kuoga, kamwe.
Kamwe usimwambie mwanaume kuwa upo jamii forum na ukiwa na mwanaume punguza kuwa busy na simu.
Ukiwa kwenye dating ukakutana na mtu unayemfahamu msarimie then mpotezee focus kwa mwanaume wako.
Usiwe mtu wa kutoa options za hoteli au sehemu nzuri ya kutoka out. Ukipewa nafasi ya kuchagua mwambie sijui akikulazimisha, chagua kati ya maeneo ambayo amewahi kukupeleka.
Usiombe pesha, omba kitu

Ukiwa na mwanaume mweleze watu muhimu kwako na namna unavyo link nao. Likewise mbembeleze naye akwambie watu wake wa muhimu.
Mhaminishe mwanaume kuwa unatamani kumzalia wato, kamwe usimwombe akuoe.

Mwisho, hakuna kanuni kwenye kumpata mwenza, hivyo yote haya yanayosemwa ni kubahatisha tu.
Mungu akubariki upate itaji la moyo wako.
Umefanya uchambuzi makini sana. Hapa hakosi mawili matatu ya kumsaidia.
 
Tukisema sifa ya kuoelwa hakuna sehemu kwamba iliandikwa kwenye muongozo bali tunachukua ile sifa ambayo inabeba market share kubwa compare to others yes wapo wanaooa kwa kuangalia tako ni 2 kwa 10 ila wanaooa kwa tabia ni 8 katika 10 That....hoja meaning ikiwa mwmanamke kuolewa lazima sifa ya tabia iwe ina shine over others.
Wewe hizo takwimu umezitoa wapi mkuu, ikiwa karibu kila siku tunashuhudia harusi nyingi na wanawake wanaoolewa wengi wanajulikana tabia zao siyo nzuri, ujue tuache kuongelea fantasies tuongelee reality hapa mkuu
 
Back
Top Bottom