financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #1,261
Nimekujibu baada ya hii post, ila huenda ndiyo sababu coz sishiriki kikamilifu kiukweliShughuli za kijamii huwa unashiriki mara kwa mara Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekujibu baada ya hii post, ila huenda ndiyo sababu coz sishiriki kikamilifu kiukweliShughuli za kijamii huwa unashiriki mara kwa mara Mkuu?
Ah wee tulia mume ulishapataSijawahi kuumba hata nzi siwezi kuchagua sana sababu huko ni kumkufuru Mungu, basi tu mimi mwenyewe sielewi ila huenda ni tight schedule kipindi nasoma kidogo nilikua busy so sikua na social life sana😢
Naona unafaa kuwa bi mdogo wangu joo tupange kabla hujachelewaHabari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Anza kushiriki kwa sana.Nimekujibu baada ya hii post, ila huenda ndiyo sababu coz sishiriki kikamilifu kiukweli
financial services vp r/ship huyo mtu uliye naye mnasubiri nini wakati inaonyesha wewe uko tayari?SIJAOLEWA mkuu tena kwa herufi kubwa, tena kuna punguzo la posa maana gazeti ni la jioni😀😀 unakuja lini?
Punguza basi kuchochea kuni kwenye kidonda mkuu, unataka nijinyonge si ndiyo😒Kumbe reality mnaijua ila sasa mnavyoringanga tukiwatongoza mkiwa miaka 24-29
😪😪financial services vp r/ship huyo mtu uliye naye mnasubiri nini wakati inaonyesha wewe uko tayari?
Noo nakataa ,sitongozwi sababu nadhani ya mvuto(sifuri)🤔Kwanzia umeanza kutongozwq inaonekana umewakataa wanaume wengi wewe
Sichagui kwani atakayenizika simjuiTatizo lako unachagua sana shauri zako 🤣🤣😊
My bad. Samahani sanaPunguza basi kuchochea kuni kwenye kidonda mkuu, unataka nijinyonge si ndiyo😒
Pole sanaa, natumia wasaa huu kukupa ushauri kwako na kwa wengine, kama ulikuwa unajitenga tenga basi jitahidi kujichanganya na jamii unayoishi. Jitahidi kuwa simple most of the time, usijiweke high classic kama huwa unapendelea kuonekana hivyo. Si wanaume wote watakuwa na ujasiri wa kukutongoza wakishaanza kuona viashiria vya wewe kuwa ni mtu wa high class, onyesha tabia nzuri za kipekee mfano. Ukarimu hili unaweza kuliiga kwa wanawake wa kisukuma waliowengi wana ukarimu wa wazi(simaanishi kujirahisi), kuwa na kauli nzuri hata kama unaona umezinguliwa na lijamaa. Nje ya mwonekano wa sura na umbo, Wanaume tunaangalia haiba, nwanamke mnyenyekevu na mtiifu pia, siyo mwanamke anakuwa mjuaji mpaka unamuogopa. Kubwa katika yote amini yupo aliyeumbwa wa kufanana na wewe, ukikutana naye mtaelewana sanaa na mtaweza kwenda pamoja. Muombe Mungu kwani yeye ndiye muasisi wa taasisi ya ndoa.Sijawahi kuumba hata nzi siwezi kuchagua sana sababu huko ni kumkufuru Mungu, basi tu mimi mwenyewe sielewi ila huenda ni tight schedule kipindi nasoma kidogo nilikua busy so sikua na social life sana😢
Mmh dadaangu hamna mwanamke ambae hatongozwi hata wale wabovu kuna wanaume wanawachombeza sana tu ondoa hiyo dhana akilini kila mwanamke anatongozwa bibie.Noo nakataa ,sitongozwi sababu nadhani ya mvuto(sifuri)🤔
Nimekujibu baada ya hii post, ila huenda ndiyo sababu coz sishiriki kikamilifu kiukweli
mtoto mdogo wa miaka 21, ambaye hata hujielewi unawapa dada zako presha humuMmh dadaangu hamna mwanamke ambae hatongozwi hata wale wabovu kuna wanaume wanawachombeza sana tu ondoa hiyo dhana akilini kila mwanamke anatongozwa bibie.
N.b kwani JF hujawahi tongozwa!?
👍🏾Tushachukulia tu poa.
Hamna namna mana changamoto za uchumi zimetuandama mpaka familia unaona nayo ni changamoto... kikubwa tunaishi maramoja! Hatuwezi kuishi tuminamisha vichwa kwa sonona kisa hatuna familia.. sisi sio wa kwanza na hatutakua wa mwisho.
Hongera mkuu, inaonesha unajitambua sana.Tushachukulia tu poa.
Hamna namna mana changamoto za uchumi zimetuandama mpaka familia unaona nayo ni changamoto... kikubwa tunaishi maramoja! Hatuwezi kuishi tuminamisha vichwa kwa sonona kisa hatuna familia.. sisi sio wa kwanza na hatutakua wa mwisho.
Usikate tamaa, huo mvuto ambao unajisemea hauna sijajua unazungumzia wa muonekano wa nje(sura+umbo) au mvuto kwa maana ya haiba yako pia? Kuna wanawake wanaolewa wana muonekano wa nje wa kawaida sanaa na mara nyingi waoaji hulenga hao(kuna siri hapa)Noo nakataa ,sitongozwi sababu nadhani ya mvuto(sifuri)🤔