Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Sasa mtu si ndo wewe bro au?
Eve nilishachoka mda sana, kabinti kanahitaji mtu fresh kabisa. Mbona ni kazuri sana, kwa zile picha kule kana shape nzuri japo reception na tabia hatujui...🤣🤣

Au financial services akipata mchuchu anabana sana, hatoi!😀 Wanaume wa leo wanataka kuonja kabla ya kuweka ndani.
 
Pole sanaa, natumia wasaa huu kukupa ushauri kwako na kwa wengine, kama ulikuwa unajitenga tenga basi jitahidi kujichanganya na jamii unayoishi. Jitahidi kuwa simple most of the time, usijiweke high classic kama huwa unapendelea kuonekana hivyo. Si wanaume wote watakuwa na ujasiri wa kukutongoza wakishaanza kuona viashiria vya wewe kuwa ni mtu wa high class, onyesha tabia nzuri za kipekee mfano. Ukarimu hili unaweza kuliiga kwa wanawake wa kisukuma waliowengi wana ukarimu wa wazi(simaanishi kujirahisi), kuwa na kauli nzuri hata kama unaona umezinguliwa na lijamaa. Nje ya mwonekano wa sura na umbo, Wanaume tunaangalia haiba, nwanamke mnyenyekevu na mtiifu pia, siyo mwanamke anakuwa mjuaji mpaka unamuogopa. Kubwa katika yote amini yupo aliyeumbwa wa kufanana na wewe, ukikutana naye mtaelewana sanaa na mtaweza kwenda pamoja. Muombe Mungu kwani yeye ndiye muasisi wa taasisi ya ndoa.
Usikute wa kwake alishamkataa kitambo sababu hana gari, nyumba wala kazi ya kueleweka.
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
NiPM tuyajenge me mhanga mwenzio
 
Eve nilishachoka mda sana, kabinti kanahitaji mtu fresh kabisa. Mbona ni kazuri sana, kwa zile picha kule kana shape nzuri japo reception na tabia hatujui...🤣🤣

Au financial services akipata mchuchu anabana sana, hatoi!😀 Wanaume wa leo wanataka kuonja kabla ya kuweka ndani.
Hapo kwenye reception ndiyo shida ilipo mkuu🙄😀 na siwezi kubadilisha chochote sasa
 
Ninakushauri ishu maisha yako. Usifuate maneno ya wanasaikolijia kuhusu umri japo kila mtu ana tamanio lake. Wapo wenzio wana NDOA chungu sababu ya kuharakia ndoa. Mbaya zaidi ndipo unapoona Kuna uadui mkubwa kati ya single mothers na Wanaume kwa sababu mwanamke aliachwa / waliachana. Hivyo ingia ktk majukumu ya Kulea / ndoa ukitambua hilo.
Ahsante sana japo sometimes nafikiria sana, ila najitahidi kutokua desparate sana
 
Eve nilishachoka mda sana, kabinti kanahitaji mtu fresh kabisa. Mbona ni kazuri sana, kwa zile picha kule kana shape nzuri japo reception na tabia hatujui...🤣🤣

Au financial services akipata mchuchu anabana sana, hatoi!😀 Wanaume wa leo wanataka kuonja kabla ya kuweka ndani.
Shake well before use ni muhimu......
 
🤣🤣🤣 mwanamke akikuzidi pesa akakuzidi na akili umekwisha......
Mwenyew ata sijisumbui mtaishia kusema mnatafuta wachumba mitandaoni kwa kuweka vigezo hivi huwa mnafanikisha tofauti na unapotongozwa apo apo🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom