Je, ulishawahi kujamba mbele ya mtu unayemuheshimu?

Hahaha
Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
 
Hakuna air fresh
Noma sana au ndio upo gheto umemuaguzia mtoto mkali kabla hajafika ukaamua kujamba zako ile unamaliza tu na mlango unagongwa hapo ndio utajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nina jamaa yangu ana tabia kama yako. .tangu akiwa mdogo mpaka amekua nayo
Sana tu tena kwa raha zangu mwenyewe wakati baba na mama wananichamba. Zaidi ya hawa wawili (baba na Mama) sina ninayemuheshimu zaidi na ndiyo maana ninajamba anytime nikijisikia hata kuwe na watu lukuki sijali.
 
Sana tu tena kwa raha zangu mwenyewe wakati baba na mama wananichamba. Zaidi ya hawa wawili (baba na Mama) sina ninayemuheshimu zaidi na ndiyo maana ninajamba anytime nikijisikia hata kuwe na watu lukuki sijali.
Kweli wewe ni JAMAA MBISHI.
 
Nilikua home sas sikuona kama mzazi yupo maana nikiwekaga mpira huwa wanaondoka nikaachia mzigo wa sauti, nikasikia mtu anaguna huku anasema jehova jehova! naona mtu anashusha miwani yake kidogo akaniambia kwa raha zako baba eeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Khaaa aisee ulizingua sana
 
Jamaa alitoka nduki si kitoto.....mimi ikabidi niearuhusu kwani nao walikuwa hoi kwa kicheko,
Baada ya ya kujamba jamaa alishtuka kisha akasema; "Haaaaa! nimejamba?" akatimua mbio.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…