Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Tatizo ni nini.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kujamba sio tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni nini.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kujamba sio tatizo
Wanajambia vyumbani wakiwa na wenza wao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna watu wapogo serious huwez amini kama wanajambaga
hahhhahha kwakweli alinichekesha hata mimiHaaaa haaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona ulivyokuwa mdogo kama paka kamwagiwa maji uwiii
tatizo ushuzi ulipopita njiani kulikuwa na kinyesi au laaTatizo ni nini.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
Unahisi hujambi, sauti unaona unaisikia wewe tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] mambo ya earphones hayo, ulihisi hiyo sauti unaiskia mwenyewe eeh[emoji23] [emoji23]
Kupitiwa tu,ila ulikua wa kawaida haujatoa harufu[emoji16][emoji16]Inamaana ulihis earphone umechomeka kunduni badala ya sikioni au[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
Mimi sijawahi ila nishawah kujambiwa
Noma sana au ndio upo gheto umemuaguzia mtoto mkali kabla hajafika ukaamua kujamba zako ile unamaliza tu na mlango unagongwa hapo ndio utajua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sana tu tena kwa raha zangu mwenyewe wakati baba na mama wananichamba. Zaidi ya hawa wawili (baba na Mama) sina ninayemuheshimu zaidi na ndiyo maana ninajamba anytime nikijisikia hata kuwe na watu lukuki sijali.
Kuna jamaa alikuwa anajamba ushuzi jeshini, unamlio kama bomu!Aisee ni balaa Jeshini ilikuwa MTU akisinziaa anaachia ushuzii balaaa...si mdadaa si mkaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa alikuwa anajamba ushuzi jeshini, unamlio kama bomu!
Kweli wewe ni JAMAA MBISHI.Sana tu tena kwa raha zangu mwenyewe wakati baba na mama wananichamba. Zaidi ya hawa wawili (baba na Mama) sina ninayemuheshimu zaidi na ndiyo maana ninajamba anytime nikijisikia hata kuwe na watu lukuki sijali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Khaaa aisee ulizingua sanaNilikua home sas sikuona kama mzazi yupo maana nikiwekaga mpira huwa wanaondoka nikaachia mzigo wa sauti, nikasikia mtu anaguna huku anasema jehova jehova! naona mtu anashusha miwani yake kidogo akaniambia kwa raha zako baba eeh
ungemwambia akuonyeshe kilichopumuakunasiku niko bar napenda sana kukaa kaunta, basi muudumu mdada alikuwa amevyaa hearphone bana sasa siakajamba mbuuuuuuuuuuuuuuuu,haha nilikauka ila nikawa najifanya sijasikia, akajamba tenaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi sijawahi ila kuna rafiki amewahi kujamba mbele ya madem wawili matata sana ambao tulikuwa na promisses nao kwaajili ya kuomba papuchi......Mission iliishia hapo hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JmnNiliwahi jamba katika bus earphones zikiwa masikioni, nilijamba sana,kuja shtuka too late ,mostly of the people walikua wananikodolea macho..
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Jamaa alitoka nduki si kitoto.....mimi ikabidi niearuhusu kwani nao walikuwa hoi kwa kicheko,
Baada ya ya kujamba jamaa alishtuka kisha akasema; "Haaaaa! nimejamba?" akatimua mbio.